Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 8,844 27,551 Jun 16, 2017 #2 Leo naona una hamu ya kutukanwa mkuu,ngoja waje
share JF-Expert Member Nov 22, 2008 6,062 10,461 Jun 16, 2017 #5 Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa!
Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa!
Medecin JF-Expert Member Nov 29, 2011 7,896 21,304 Jun 16, 2017 Thread starter #6 share said: Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa! Click to expand... Mkuu una akili Wewe
share said: Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa! Click to expand... Mkuu una akili Wewe
Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,419 15,974 Jun 16, 2017 #7 share said: Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa! Click to expand... mkuu sio makinikia TUKI wamesema tuyaiye MABOSO.... Hongera wanyalu wote kwa kuongeza msamiati kwenye hii ligha kwa mara nyingine
share said: Kwahiyo Bashite ni makinikia (magwangala). Mzigo hauna malinda, umeshaliwa na mwenye band - bwana gitaa! Click to expand... mkuu sio makinikia TUKI wamesema tuyaiye MABOSO.... Hongera wanyalu wote kwa kuongeza msamiati kwenye hii ligha kwa mara nyingine
Medecin JF-Expert Member Nov 29, 2011 7,896 21,304 Jun 16, 2017 Thread starter #8 Planett said: mkuu sio makinikia TUKI wamesema tuyaiye MABOSO.... Hongera wanyalu wote kwa kuongeza msamiati kwenye hii ligha kwa mara nyingine Click to expand... Kwa hiyo sio makinikia tena mkuu
Planett said: mkuu sio makinikia TUKI wamesema tuyaiye MABOSO.... Hongera wanyalu wote kwa kuongeza msamiati kwenye hii ligha kwa mara nyingine Click to expand... Kwa hiyo sio makinikia tena mkuu
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,521 13,110 Jun 16, 2017 #9 Watu kama wewe mkisha wekwa kwenye mikono salama huwa mnaanza kujuta.