Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,632
4,512
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita babu.Naomba ufafanuzi wenzangu hivi mwanaume mpaka aanze kuandamwa hivi inaonekana kuna walakini sehemu fulani.Ni lini na katika umri gani hasa mwanaume anapokuwa amezeeka na amechelewa kuoa..:crazy::crazy::crazy:

Copy: Arushaone Asprin Madame B Arabela zubedayo_mchuzi Preta Masanilo Nyani Ngabu Ruttashobolwa Bishanga Erickb52 Mungi Filipo marejesho Mkuu rombo Chilli tedo gfsonwin BADILI TABIA Kongosho C6 charminglady Baba V Ciello Kipipi Judgement figganigga mzee wa mia. beibe nasty na wengine wote ambao sikuwatumia copy..
 
Last edited by a moderator:
Inategemea uko nchi gani na ni kabila gani. Huku kwetu masaini mwanaume wa miaka 15 kama hujaoa inabidi utambikwe.

Sasa si uoe. Anzisha thread tufanye applications.

Kabila Msukuma kwetu Maswa,kwa sasa naishi kwa kusafiri,sehemu tofauti tofauti,ila hapo nilipokoleza wino dah....Itakuwa ngumu Kidooogo kwa sasa...
 
Bado uko uko kwanza eeh? Angalia usijefikia unaoa hamadi!!....unaoa bintiyo wa nje bila kujua au ukaoa mke; then kina Arushaone tukakusaidia kazi zetu zile za kusimika mzizi.. Ushaanza kuzeeka bhana! OA tutakuchangia usiogope. LISEMWALO LIPO.
 
Last edited by a moderator:
Ngumu kwa nini sasa? Acha kutubania baba. Ila wasukuma hawazeekagi, hukawii kuao at 60. Kwani kama unasafiri si unabeba parcel yako? Unajiolea selule kama natalia, unampa ki-ipad anakufuata kila uendako.

Chochea karama yako, chocjeaaa.

Hapa kuna kaukweli mkuu,sababu yule binti yangu niliyenyimwa na Madame B sasa hivi ana miaka 19
 
Last edited by a moderator:
Ngumu kwa nini sasa? Acha kutubania baba. Ila wasukuma hawazeekagi, hukawii kuao at 60. Kwani kama unasafiri si unabeba parcel yako? Unajiolea selule kama natalia, unampa ki-ipad anakufuata kila uendako.

Chochea karama yako, chocjeaaa.

Huko bado mbali sana ila nimeshavuka nusu yake,kinachonichelewesha ni haya mambo ya mimi niko safarini Parcel naiwacha nyuma,labda kama kuna mtu atanipatia ile dawa ya Temeke ndio ntafikiria upya hili swala...
 
Mkuu Mtakatifu Black Cat, Huyu shemejio nayeishi nae kitanda kimoja nliweka ndani nikiwa na 26 yrs. Yaani kudadadeki maisha ni kama tumeyaanza pamoja na mai waifu.... Ma eji meti zangu wananionea wivu sana wakiona mabinti zangu walivo wakubwa wakati wao bado wananyonyesha..... Manina zao!

Pamoja na hayo yooooote, eti bado mama yangu alikuwa analalama eti nimechelewa sana kuoa....khaaa!!! Sijui alitaka niwowe wakati bado niko fom foo??
 
Kwa mtaji huu babu ODM ni kweli wanaosema ninazeeka wana hoja ya msingi,maana kwa umri uliokuwa nao ulipomkamatia bibi yetu basi kwangu mimi angezea na 11 hapo,na bado niponipo sana..nani anataka kuibiwa maisha haya na Tego ya Temeke bado sijaipata
 
Hehehehe! Haya bana, kuna swahiba angu agemate wako kila tukimkumbusha kuwowa anasema eti "Namsubiri mama mkwe azaliwe"..... Kudadadadeki, hebu imajin mpaka mama mkwe azaliwe ndo amzalie mke yeye bado yupoyupo tu....:nimekataa
 
Babu hauishi vituko nimecheka kwa sauti mpaka naogopa alfajiri hii....wasije wakafikiria nimashapagawa hahahahahahah
 
Oeni bwana, acheni kukopa watoto wa watu. Penzi halikopwiii!
Sasa ww mtakatifu, ina maana akiwa gelofrendi si ndo anaweza kuibiwa kabisa? Bora ajihakikishie kabisa kuwa.unammiliki, ohooo.
 
Nafuu abakie gelofrendi anakuwa anajheshimuheshimu kidogo, ukishamuweka ndani ndio anajua keshafika na ndo anaanza kukuonyesha makucha yake..
 
Babu hauishi vituko nimecheka kwa sauti mpaka naogopa alfajiri hii....wasije wakafikiria nimashapagawa hahahahahahah
Watu wa Type yenu ndo mnaokula mama wakwe zenu. hebu imajin Black Cat uwowe mtoto wa charminglady, siku mkeo akiwa kasafiri kwenye unajimu wa kina mama wa kila mwezi afu charminglady akawa kaja kuwatembeleeni atapona kumiminiwa viprotini kiduchu kwa hisani ya binti yake? Mi nshawastukieni nyie watu wa bado mupo mupo....!!
 
Astaghafirulah babu,mifano mingine inakwaza,utanifanya nifunge na kuomba charminglady ajifungue mtoto wa kike ili siku za usoni utabiri wako utimie...hahahahahaha
 
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.

Popote ulipo charminglady, hebu fanya juhudi kwa hisani ya watu wa Tanzania, Huyu Paka mweusi ajitwalie mke wa ndani ya uzao wako. Ili siku mwanao akinaniliyu, Huyu Paka afaidi matunda ya ndoa yake kwa kunaniliyu na naniliyu wa naniliyu wake. Tunaomba hayo kwa jina la bwana wenu ODM. Amina.
 
Last edited by a moderator:
Duh kumbe mt.paka mweusi bado anakopa eeeeh,aangalie asijeitiwa mwizi akapoteza uhai

Back
Top Bottom