St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,633
- 4,515
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita babu.Naomba ufafanuzi wenzangu hivi mwanaume mpaka aanze kuandamwa hivi inaonekana kuna walakini sehemu fulani.Ni lini na katika umri gani hasa mwanaume anapokuwa amezeeka na amechelewa kuoa..:crazy::crazy::crazy:
Copy: Arushaone Asprin Madame B Arabela zubedayo_mchuzi Preta Masanilo Nyani Ngabu Ruttashobolwa Bishanga Erickb52 Mungi Filipo marejesho Mkuu rombo Chilli tedo gfsonwin BADILI TABIA Kongosho C6 charminglady Baba V Ciello Kipipi Judgement figganigga mzee wa mia. beibe nasty na wengine wote ambao sikuwatumia copy..

Last edited by a moderator: