Mwanaume Anayetamani Kuwa Mwanamke Amuua Mkewe Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume Anayetamani Kuwa Mwanamke Amuua Mkewe Marekani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Sep 23, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mwanaume Anayetamani Kuwa Mwanamke Amuua Mkewe Marekani
  [​IMG]
  Picha ya Michael Adams Jr aliyopigwa baada ya kukamatwa na polisiWednesday, September 23, 2009 6:15 AM
  Ukitazama picha hii unaweza ukadhani unaangalia picha ya mwanamke huyo si mwanamke bali ni baba wa watoto wawili anayetaka kubadili jinsia kuwa mwanamke ambaye alitiwa mbaroni baada ya kumuua mkewe aliyekuwa akipinga maamuzi yake hayo.Michael Adams Jr, 37, baba wa watoto wawili anayetaka kubadili jinsia kuwa mwanamke ambaye hupenda kuvaa nguo za kike, ametiwa mbaroni baada ya kumuua mama wa watoto wake kwa kumpiga risasi ya kichwa baada ya mama watoto wake huyo kupingana na uamuzi wake wa kuvaa nguo za kike na kubadili jinsia.

  Adams alipandishwa kizimbani katika jimbo la Missouri akikabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mkewe, Amber Hartwig, liliripoti gazeti la Kansas City Star.

  Polisi walisema kwamba mtoto wa kike wa Adam mwenye umri wa miaka 18 aliingia jikoni na kumkuta mama yake akiwa amelala chini sakafuni akiwa ameishafariki huku baba yake akiwa amekaa pembeni yake akivuta sigara huku akiwa amevaa nguo za kike.

  Ndugu na majirani wa familia hiyo walisema kuwa Adams na mkewe walikuwa na mzozo mkali kuhusiana na mavazi ya kike ambayo Adam hupenda kuvaa anapokuwa ndani ya nyumba yake na anapoenda kwenye shughuli zake.

  Majirani walisema kuwa Adams alitamani kuwa mwanamke na alishaanza hatua za mwanzo za matibabu ya kubadilisha jinsia.

  Polisi walisema kuwa mke wa Adam alifariki kutokana na majeraha aliyopata kichwani baada ya kupigwa risasi ya kichwa.

  Adams mwenye nywele ndefu zinazofika mabegani alipandishwa kizimbani huku akiwa amejiremba kwa vipodozi kibao.

  Adams alikana mashtaka ya mauaji aliyofunguliwa akisema kuwa hakumbuki kufanya tukio kama hilo.

  Adams alirudishwa jela na kesi yake inaendelea.

  www.nifahamishe.com
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wengi hubisha kuwa hakuna mashoga wakujitakia kwamba mashoga wengi huwa na homoni nyingi za kike.Sasa kama huyu bwana alikuwa na homoni za kike aliwezaje kuwapata watoto hawa?
   
 3. M

  Mchili JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haikuwekwa wazi kama alishaanza kugongwa au ni vituko vyake tu
   
 4. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,551
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Mmhh ....
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2015
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Yaani demu kabisa. Sasa naye mke wa ajabu si angeomba talaka tu aliache hilo punga
   
 6. Countrywide

  Countrywide JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2015
  Joined: Mar 2, 2015
  Messages: 2,521
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  inasikitisha!
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2015
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mke alifikiria mbaali sana, ebu fikiria watoto wanakuwa wakubwa halafu wanamkuta baba yao amekuwa mwanamke, watoto wanakuwa wakubwa wanamkuta baba yao ameolewa na mwanaume wmingine? Halafu wanamkuta baba yao naye amezalishwa watoto wengine na mwanaume mwingine!

  Sijui watoto watamshangaa mama kwanini alikubali kuolewa na mwanaume "shoga" au sijui ingekuwaje! au sijui watoto wasingeamini huyo ni baba yao wangetaka mama awaonyeshe baba mwingine? Mke aliumia sana inaonekana, apumzike kwa mani huko alipo.

  cc nyumba kubwa mshana jr
   
 8. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2015
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,355
  Likes Received: 81,340
  Trophy Points: 280
  Seriously shocked...! Ndio maana nikiona mtu anatetea ushoga naona kama bado yuko kizani na hajui anatetea nini stineriga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. N

  Nzega Yetu Kwanza JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2015
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  BUSARA INGETUMIKA, WANGEBADILISHANA TU JINSIA ZAO,MWANAMKE ANGEBADILI JINSIA YAKE YA KIKE NA KUMPA MUMEWE NA ANGECHUKUA Jinsia Ya Mumewe Akaipachika Kwake.Kwahiyo Mwanamke Angekuwa Mwanaume Na Mwanaume Angekuwa Mwanamke.
   
 10. N

  Nzega Yetu Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2015
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wangebadilisha Jinsia,mwanamke Angeichukua Jinsia Ya Mumewe Akaipachika Kwake Hvy Yeye Angegeuka Kuwa Mwanaume,na Jinsia Yake Ya Kike Angempa Mumewe Hvy Mwanaume Angekuwa Mwanamke Na Angemfanya Ndo Mkewe,tena Wangezaa Tena Watoto Wawili.
   
 11. N

  Nzega Yetu Kwanza JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2015
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanamke Angeichukua Jinsia Ya Mumewe,na Ya Kwake Angempa Mumewe.Hvy Bado Wangeishi Kama Mke Na Mumewe Na Wangezalishana Tena Watoto Wawili.
   
 12. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Idadi ya wanawake inazidi kuongezeka bila sababu ili hali wanaume wachache waliobaki wanaona wanawake wasioolewa ni malaya bila kuangalia kuwa kuwa wenzao wameamua kuongeza idadi ya wanawake tena wanabana nafasi kabisa, chanzo cha yote hayo ni wanaume wenzao wanaowanunua/kuwaoa nk. ndio wanaosababisha uwepo wa hawa watu. huu ni ujinga kabisa,
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2015
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Yote haya sababu ya mizigo anayotwishwa mwanamke...pressure za jamii
  Mume akiwa shoga lawama kwa mkewe in the name of 'mwanamke mjinga uvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe'...kwa nini liwe jukumu la mwanamke tuuuuu kulinda ndoa?????????????ushoga uwe wewe aibu nione mimi ???Why?????
  Haya kaona alinde ndoa na kuishia kutolewa roho...


   
 14. N

  Nzega Yetu Kwanza JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2015
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WANGEBADILISHANA JINSIA ya MWANAMKE ANGEMPA MUMEWE YEYE AKACHUKUA YA MUMEWE AKAPACHIKA KWAKE HVY HVY NA MUME NAE ANGECHUKUA YA MKEWE AKAPACHIKA KWAKE AKAWA MWANAMKE. hapo kuna shida?
   
 15. n

  nguvu JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2015
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  wazungu wangese sana
   
 16. Void ab initio

  Void ab initio JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2015
  Joined: Mar 1, 2015
  Messages: 1,932
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  Mh...dunia ina mambo?
   
 17. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,551
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  tena toka kitambo...
   
Loading...