chaboo
Member
- Dec 11, 2013
- 78
- 26
wazee nimekuta mzozo wa hawa dada zetu, suzi, joyc na mary, suzi anamcheka joyc kuwa na mwanaume mwenye ela ila anasura mbaya kiac kwamba wakifunga haruc itawachekesha sana watu kwani hawaendani, joyc naye anamtupia dongo suzi kwa kulalamika kila siku mwanaume wake ana mashine fupi pamoja kwamba ni handsome, mary anacheka kwa kejeli aliposikia hilo dongo la joyc kwenda kwa suzi naye suzi anamkasirikia mary alivyo cheka na kummpa dongo mary kuwa na mwanaume handsome ika kicheche kwa mafumanizi kibao... ilinibidi nisepe nacheka mwenyewe, hasa uwanja wenu yupi mjanja??