mwanaume anasifiwa nini?

chaboo

Member
Dec 11, 2013
78
26
wazee nimekuta mzozo wa hawa dada zetu, suzi, joyc na mary, suzi anamcheka joyc kuwa na mwanaume mwenye ela ila anasura mbaya kiac kwamba wakifunga haruc itawachekesha sana watu kwani hawaendani, joyc naye anamtupia dongo suzi kwa kulalamika kila siku mwanaume wake ana mashine fupi pamoja kwamba ni handsome, mary anacheka kwa kejeli aliposikia hilo dongo la joyc kwenda kwa suzi naye suzi anamkasirikia mary alivyo cheka na kummpa dongo mary kuwa na mwanaume handsome ika kicheche kwa mafumanizi kibao... ilinibidi nisepe nacheka mwenyewe, hasa uwanja wenu yupi mjanja??
 
Sasa wewe kwanza ni mmbeya, kwenye mazungumzo ya dada zako ulikuwa unatafuta nini? harafu bado mdogo kabisa kiumri yaani umesoma kipindi Mlugo akiwa naibu waziri wa elimu angalia kwenye red.
 
Sasa wewe kwanza ni
mmbeya, kwenye mazungumzo ya dada zako ulikuwa unatafuta nini? harafu
bado mdogo kabisa kiumri yaani umesoma kipindi Mlugo akiwa naibu waziri
wa elimu angalia kwenye red.

Mwambie! Namna ya uhandishi binafsi nisiyopenda. Kizazi cha Lulu.
 
na ulikaa kuskiliza yote hayo!!!? Jibu ni herufi tatu za mwisho wa jina lako. Umefurah?
 
Mimi siwez kumuelezea rafiki yangu kuwa mpenzi wangu ana ndefu,fupi nene,nyembamba au tamu hayo mambo ni siri yangu,
Kama mwanaume ni mbaya haimuhusu mtu yeyote kwani mi kwangu handsome kuzidi hata Wiliam Lev maana uzuri upo machon pa mtu sio machoni mwa watu

Mwanaume anasifiwa kazi na utafutaji na busara kichwani
 
je wewe umewaikufikilia demu wako anapokuwa na wezake wanakujadilije......pole...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom