Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mchimbaji mdogo mdogo unalinda mgodi wako hahaha
pesa tamu bwana .. unaweza kuwa unakatika huku pesa zikitoka kumpa burudani
This is not serious
hahahahahah, halafu anachungulia kabisa anatoa ngapi? na nywila anaiona,hahahahaNaona mchimbaji mdogo mdogo unalinda mgodi wako hahaha
hahahahahahahaahhahapesa tamu bwana .. unaweza kuwa unakatika huku pesa zikitoka kumumpa burudani
Tehtehhahahahahah, halafu anachungulia kabisa anatoa ngapi? na nywila anaiona,hahahaha
Tehteh
Mimi nikienda kutoa utajua basi nakutoroka
Pia yawezekana kwa unyenyekevu huo jamaa anaomba mbunye.Hiyo kitu ili uipate inahitaji ujitoe ufahamu ikiwezekana.Wanaume wameumbwa kuteseka na kudhalilika.
Hivi "nywila" ndio password!!? Kweli kiswahili kipana mpaka kwenye makinikia!!?hahahahahah, halafu anachungulia kabisa anatoa ngapi? na nywila anaiona,hahahaha
na keyboard inaitwa "baobonye" upo hapo,hahahahahahaahHivi "nywila" ndio password!!? Kweli kiswahili kipana mpaka kwenye makinikia!!?
pesa tamu bwana .. unaweza kuwa unakatika huku pesa zikitoka kumpa burudani
Nashangaa wanaosema pesa siyo kila kitu nadhani hawapafahamu pa kupata kila kitu kwa pesapesa tamu bwana .. unaweza kuwa unakatika huku pesa zikitoka kumpa burudani
hawajui wakijua watabadili kauliNashangaa wanaosema pesa siyo kila kitu nadhani hawapafahamu pa kupata kila kitu kwa pesa
Njoo unisaidie kutumia weekend hii...!pesa tamu bwana .. unaweza kuwa unakatika huku pesa zikitoka kumpa burudani
upo maeneo gani nije kutumia?Njoo unisaidie kutumia weekend hii...!