Mwanaume anahitaji mwanamke malaika wakiwa sebuleni na mwanamke mtundu wakiwa chumban

Basi ntafuata yote!

Anza sasa

mau.jpg
 
mmmmhh easy done ..
hapo hakuna neno kabisa..
mbona mambo ya kawaida tu hayo..
but remember unachotaka ufanyiwe wewe na we umfanyie mwenzio au vipi???/
 
Wanaume wanahitaji mwanamke mtundu, tendo la ndoa ambalo linaleta msisimko, linalofurahisha na kutia hamasa mpya kila siku.
Jaribu vitu vipya, mikao, miguso, busu, na michezo ya uwaja wa 6x6 au chochote umejifunza, acha woga kwamba atakuuliza nani kakufundisha, dunia ya leo tunaishi dunia ambayo wanaaiita information society, hivyo watu tunapashana habari na kufundishana kupitia magazeti, radio, TV, movie, internet nk.
Usiache kufanya kitu kipya huko chumbani eti kuogopa atakuuliza umejifunza wapi.
Kazi kubwa kwako ni kuhakikisha uwanja wa 6x6 unakuwa moto siku zote na pia kumpa vitu vya uhakika ili asitembeze macho nje kutokana na kuwa bored na mapishi ya aina hiyohiyo miaka nenda miaka rudi.
Ni kweli kama umri umekwenda sana hamwezi kufanya kama ile miaka ya nyuma lakini isiwe sababu ya kutokuwa na mambo yenye kuridhisha na mwanamke kuwa moto uwanjani.
Miili yetu ni hekalu la Mungu la ajabu na la aina yake hapa duniani.
Mwili ni laini, una harufu nzuri, ukiguswa unapata raha ya ajabu, hivyo kama mwanamke unahitaji kujiweka safi na hot muda wote bila kujali umri.
Kitu cha msingi ni kwamba mume wako anakuhitaji wewe, anahitaji ladha mpya na utamu kila siku kutoka kwako iwe ni kukugusa kwa mikono yake, au kukuangalia kwa macho yake au kukunusua mwili wako kwa pua yake au kukusikia unaongea maneno matamu kwa masikio yake na kukuonja mwili wako kwa ulimi wake.
Ni kweli anakuhitaji wewe na si mwingine na kwa kuwa anakuhitaji wewe basi
Mpe raha
Keep it hot,
steam it up
and you both will come back wanting more time and time again.

Mwisho
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanaume anahitaji kwako na kuna kitu anataka kwako, kuna mambo mengi sana mwanaume anahitaji kwako kitu cha msingi timiza hizi ndoto kwa kuzifanyia kazi.
Kama utakuwa ni mtu unayekuwa mbunifu na mwenye kufanya mambo tofauti bila mazoea basi uhusiano wako na umpendaye utakuwa imara na mzuri kila iitwapo leo.

Mungu akubariki sana.
ingekuwa poa ungejali kupata raha kwa both sides! Wanaume mna jipya gani kwa wapenzi wenu? Au mnafikiri si hatuchoki, kuingiza na kutoa! Otherwise imesimama hii!
 
Wanaume bwana, hata ukiwabebe mgongoni wanateleza, hata sijui tuwafanyie nini?? Enzi za utumwa zimepita kumbika, ukitaka raha toa raha pia uaminifu una matter sana! siwezi kufanya vimbwangaaa nikijua fika una gawa hovyooo! roho inazimia jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
waache kupiga piga kelele ooh sijui wanaume nini oooh mara lile
imebidi niwape ka ukweli kidogo
ngoja waje wasome:a s-alert1:

asante kimbweka kwa darasa, ninalifanyia kazi ili kujihakikishia namba uwanjani everyday.
 
kimbweka sikia nikuambie unaweza ukawa maarufu sana wa maneno matamu lakini ukifika uwanjani huna unaloliweza golli moja chali mpaka unakumbushwa kuamka upo hapo?
 
We PM ndo wale wale!Kama nimetimiza wajibu wangu huo kwanini kuwe na tatizo kama nae atatimiza wake?Ubaya ni kwamba unajaribu kusema wanawake tu ndo wakuzingatia yaliyosemwa!Wakati kila kitu kinahitaji ushirikiano!



Tobaaaaa,yameshanigeukia mimi tena?
 
Lizzy
Ulianza hivi......
Kimbweka tukishafanya hayo yote tunapata nini?


Nikakujibu hivi..........
Hapo ndio shida inapoanzia,na kila siku mmejiwekea akilini kuwa ni mwanamke tu ndiye anayeandaliwa,na ukiendelea kuuliza hivi usijemlaumu baba watoto wako kwa kuchelewa kurudi nyumbani.

Ukasema hivi.........
UOTE=Lizzy;1371540]We PM ndo wale wale!Kama nimetimiza wajibu wangu huo kwanini kuwe na tatizo kama nae atatimiza wake?Ubaya ni kwamba unajaribu kusema wanawake tu ndo wakuzingatia yaliyosemwa!Wakati kila kitu kinahitaji ushirikiano![/QUOTE]

Sasa na mimi nimekuwaje walewale inamaana kukukumbusha wajibu wako ni kosa?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom