Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
 
Kweli Kama mie huwa Niko active jf and Twitter. Ila huko Ni Kama Kuna wanawake wanaringishiana Leo ninevaaje. Yaani Kama wanatoa somo na vijembe. Hizi mbili Sina haja ya kuonyesha mgongo wangu wa tembo la tope,baiskeli yangu ama Kama leo Nimekula mchicha na Dona na kunywa uji na mahindi ya kuchemshwa.

Ila mkuu mbona unawachukiaga mno walimu lakini.
Ujue duniani Kuna matabaka. Ukiwa na mabasi alfu kumi nadhani utahitaji watu wakufanyie kazi.
Walimu wametufundisha mpaka tumejua kusoma na kuandika na wewe ukiwemo
 
Wahenga wa miaka ya 40 - 80 watakuelewa, lakini kile kizazi cha "Kila Mtu na maisha yake" ni bure kabisa.

Mi pia nina ukakasi na wewe, kwanini umeiacha Facebook na Badoo?
 
Kweli Kama mie huwa Niko active jf and Twitter. Ila huko Ni Kama Kuna wanawake wanaringishiana Leo ninevaaje. Yaani Kama wanatoa somo na vijembe. Hizi mbili Sina haja ya kuonyesha mgongo wangu wa tembo la tope,baiskeli yangu ama Kama leo Nimekula mchicha na Dona na kunywa uji na mahindi ya kuchemshwa.

Ila mkuu mbona unawachukiaga mno walimu lakini.
Ujue duniani Kuna matabaka. Ukiwa na mabasi alfu kumi nadhani utahitaji watu wakufanyie kazi.
Walimu wametufundisha mpaka tumejua kusoma na kuandika na wewe ukiwemo
Mimi sijaingia darasani
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Binafsi hizo ni platform za kike
 
Mpaka unajua kuwa mange kimambi Yuko huko,na kuna kujirekodi na kulembua bila shaka na wewe ni mteja wao huko TikTok au shetani aliyezeeka Sasa anajifanya malaika.
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Mpyayungu leo umeonyesha ulivyo mtupu huko kichwani na uboga wako leo ni wazi kabisa, unaowaona wanapotea hizo ndio kazi zao full time na wanaingiza pesa za kutosha, jifunze namna ya kutumia hizo social media na kuwa content creator na wewe ufaidike, hata wewe unaonekana unaweza kuwa content creator mzuri sana maana una story nyingi sana, sasa badala ya kutoa burudani tuu humu unaweza ukazigeuza ikawa kipato kwako...video za kula chips,majungu, umbeya na kulamba chips ndio income yenyewe, go educate yourself
 
Mitandao mingi ya kijamii ina aina ya watu wanaoitumia na kukutana na wenzao huko, ipo ya wasomi, wanasiasa na wasanii. Pia ipo ya wenye elimu ya kawaida. Kila mtu anavutiwa na maudhui yaliyoko kwenye mitandao anayoitumia
Nashangaa mtu anafikiri mitandao ni ya wahuni au wambea
Ni jinsi unavyotaka wewe
Mimi naangalia sana magari mapya, technology zinazotoka kila leo na ubunifu pia kujisomea mengi ya Dunia
Kuna hata kufuatilia wahubiri na hata gardening au buildings na architectural

Mtu kama hajui kuwa yote hayo na chochote anachopendelea anapata kwenye mitandao basi atakuwa hajui na akijifanya anajua

Kuna mengi sana ya kujifunza na kuangalia kwenye insta na tiktok maana wabunifu na hata wafanyabiashara wengi sana wamo

Kuna mapishi na mengi ya kujifunza sio udangaji
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
we ni ke sio? basi sawa sio kosa lako ungekua me ungeeleweka
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Kwa hio messi nae akiingia Instagram anaona kina mange na udaku? Hio Ni Instagram yako ndo unaona hayo sababu uko interested nao una wa search na ume wa follow kifupi wewe ndo mmbea napata mashaka na jinsia yako

Hivi hujui Instagram Ni sehemu pazuri Sana pa kutangazia biashara yako, hata Kama unauza mnduku kule unajiita tu Aisha mauno watu wengi huwa tuna search neno baikoko, kangamoko, mauno, Kisha napata result za wadada kujibinua kitandani naangalia nardhika ..natania but huwa naangalia sometime

Haya unaangalia product mbalimbali na Bei zake wauza magari insta Ni pazuri Sana

Kila mtu Ana matumizi yake

Eg Mimi napenda mziki wowote mzuri sina mahaba na msanii yoyote duniani hivo sijafollow msanii yoyote duniani zaidi ya friends wa karibu na huwa siachi alama ya ku like hivo huwezi jua Kama hi video nimeona sababu siachi alama popote tofauti na watu wengne akifungua insta anaanza like page za udaku Mara wasanii Mara mh jokate Sasa Mimi kwa hao wasanii nataka ona Nini sihitaji jua sa hivi wako wapi wanafanya Nini wanashoot nyimbo gani Kama kazi Ni nzuri nitasikia kwenye radio flani hivi over
 
Back
Top Bottom