sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 18,503
- 41,742
Hiyo yeye ndio anatakiwa kunipa mie zawadi. Maana namsaidia hudumaBasi zawadi kwa kukupa tunda kila usiku.
Au nalo unapewa na Dada wa kazi kaka shemeji?
Hiyo yeye ndio anatakiwa kunipa mie zawadi. Maana namsaidia hudumaBasi zawadi kwa kukupa tunda kila usiku.
Au nalo unapewa na Dada wa kazi kaka shemeji?
Kumbe nilishakupa onyo eeh?Nipatie Baba P maana hata yeye anajua ninampenda.
Sema ulisema nikimsogelea utanivunja miguu.
Cc sumbai
Mbona mnaendaga kununua wanaojiuza? Sasa yeye kakusogezea huduma karibu na mteja ni wewe peke yako.Hiyo yeye ndio anatakiwa kunipa mie zawadi. Maana namsaidia huduma
.Kumbe nilishakupa onyo eeh?
Hivyo yaani Baba P haendi popote.
Hawa watoto utawalea wewe?
Hahaha bride price ndio ilikuwa zawadi yake.Mbona mnaendaga kununua wanaojiuza? Sasa yeye kakusogezea huduma karibu na mteja ni wewe peke yako.
Kwa hiyo kaka shemeji wewe unasema mwanamke hastahili vizawadi zawadi na vi ofa ofa kutoka kwenu?Hahaha bride price ndio ilikuwa zawadi yake.
Yes.. kwa namna nnavyo muhudumia yeye anastahili kunipa mimi.Kwa hiyo kaka shemeji wewe unasema mwanamke hastahili vizawadi zawadi na vi ofa ofa kutoka kwenu?
Wewe unamhudumia au unafanya majukumu yako Shem?Yes.. kwa namna nnavyo muhudumia yeye anastahili kunipa mimi.
Kwan ugum upo wapi shem
Namhudumia.....!Wewe unamhudumia au unafanya majukumu yako Shem?
Sasa kumhudumia si ndiyo pamoja na kumpa hela 10% na vizawadi zawadi?Namhudumia.....!
ampe pesa inayomtosha kuhudumia familia na yeye mwenyewe mambo ya asilimia ngapi ya mshahara sio mazuri maana ipo siku mshahara unaweza usiwepo na umeshamzoesha kurudi katika hali ya chini mara nyingi inakuwaga ngumuMwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
Kwenye aviation wanasema every landing is a new landing,,,.Mwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
Ni wake wachache sana walioajiriwa na wanafanya kazi hizo za nyumbani..Hizi anaachiwa dada wa kazi..Hii 10% basi bora apewe yeye..Kama zawadi, ya kukufulia nguo zako na kukupikia.
Uamuzi mzuri kabisa. Huyu angekusababishia presha bure.Jiulize kwanza anajua kutunza hela??
Ana akili ya maendeleo??
Kuna mtu alimuacha mke na mimba ya mwezi 8 na hajamrudia hadi leo????
Alikuwa Ana goli la kuchoma nyama choma Arusha,kila siku Ana mpa mke elfu 20 aweke toka mimba imeanza hadi mimba Ina miezi nane.Kila siku mama tunza hiyo itatusaidia tukipata mtoto hapo na hela ya chakula anatoa na nyama anarudi nayo karibu kila siku...
Miezi nane imefika, mwanamke inabidi aende kujifungulia kwa mama ake maana jamaa Ni yatima, mwanaume anauliza ile pesa iko wapi tujue unaenda na sh ngapi kwa mama, Mwanamke anasema Ana laki na ishirini..miezi 8 *30*20,000=milioni 5 kasoro hiyo.Mara nilimlipia mdogo wangu Ada mara nilinunua sijui mavitu gani.Jamaa alilia kama mtoto.
Baada ya hapo akasusa mtoto na akamwambia mwanamke ukienda kamwe usitie mguu wako kwangu.Kaoa saivi na Ana nyumba tyr.
hahahahahahahahahahaha nimecheka kama nimechanganyikiwaNatafuta mchumba kwenye huu uzi