Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Mwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
Akimpa mshahara wote itajenga upendo zaidi
zingine unapeleka wapiAmpe azilimia 20 mpaka 40%
Utamupa na hatoamini kama ni woteAkimpa mshahara wote itajenga upendo zaidi
zingine unapeleka wapi
Hahahahaaaa!!Utamupa na hatoamini kama ni wote
Mkabidhi mkeo mshahara wote akutunzieMwanaume akishapokea mshahara anatakiwa ampe mkewe asilimia ngapi ya mshahara na asidai pesa nyingine hadi mwezi ujao, pesa hizo ni pamoja na pesa za chakula, matumizi yake na matumizi ya watoto
utampata tuNatafuta mchumba kwenye huu uzi
Ha ha ha ha haNatafuta mchumba kwenye huu uzi
NdioHahahahaaaa!!
Atahisi kuwa umesunda zingine?
Natafuta mchumba kwenye huu uzi
Hujasema unataka shilingi ngapi kwa mwezi lol