Mwanaume amesusa pesa ya lottery

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,184
Nchini Uingereza mwanaume mmoja aliyegundua ticket yake ya lottery imeshinda aliwapigia simu Camelot na kuambiwa apeleke vitambulisho vyake wahakikishe kuwa ni yeye.

Aliwajibu mbona mnazengua hamjui kuwa mimi ni mteja basi nirudishieni £1 yangu biashara iishe.
 
Alishinda Pound ngapi?
 
Huyo jamaa anatakiwa awe mbunge wa bunge la Tanzania. Maana huku ni mwendo wa ukimwaga mboga si tunamwaga ugali.

Spika mpaka anamaindi kwanini hawaendi kufuturu futari aliyoiandaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom