Mwanaume amekatwa nyeti na mkewe,kisa wivu wa mapenzi

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,110
Mwanaume mmoja nchini uganda aliyejulikana kwa jina la Lorant Tumsime amekatwa sehemu zake za siri usiku wa juzi alipokuwa amelala. Mwanaume huyo amekatwa nyeti zake na mkewe Judith Nabhakilia aliyedai kuwa,amechoshwa na uzinzi wa mumewe ambaye amewahi kumfumania mara nyingi akizini na wanawake wengine kwenye shamba lao la migomba kwa kuwa wanandoa hao ni wakulima.Hivyo aliamua kufanya maamuzi magumu ya kumvizia usiku akiwa amelala na kumkata uume wake kwa kisu kikali. Bibie Judith ametoroka na kumwacha mumewe akilazwa hospitali kwa uchungu mkubwa wa kutokujua hatma ya uanaUME wake. | | Katika historia matukio ya wanaume kukatwa nyeti zao yalilipotiwa kwa wingi nchini Thailand kati ya 1973 hadi 1980 ambapo visa 100 viliripotiwa.Pia visa hivyo vimewahi kuripotiwa Yemen na Iraq ambapo wanajeshi mashujaa walikuwa wanawakata nyeti mateka ikiwa kama ishara ya ushindi lakini,nchini china wanaume waliowahi kufanyiwa hivyo walirudishiwa nyeti zao...SWALI:Unalizungumziaje sakata hili?
 
Dah hii noma, wanawaonea wanaume sijui kwasababu nyeti zao zina hang hang tu,wamsake na yeye wampluni mashavu yake ha ha haaaaa!
 
kajitahidi kuwa na roho ya chuma, sasa ataburudika na nini? duniani hakuishi vituko
 
[QUOTE=nivea; safi sana...mbona unasifia ulitendwa? Huu ni ukiukaji wa haki za wanaume tena kwa kiwango cha juu kabisa.Mwanaume akikutenda usijichukulie hatua mkononi ebo..!
 
Jamani michango ya huu uzi kweli ni balaaa ..... yaani mbavu sina.....ni wakati sasa na sisi wanaume kwenda Shangai kulaani unyanysaji wa kijinsia
 
Mkuu Nivea,yaelekea unachukizwa sana pale wanaume wanapokosa uaminifu lakini,hakuna njia nyingine ya kuwasulubu wanaume hadi wakatwe nyeti zao?
 
wamezidi kama nakua cmridhishi c aniambie 2jue nini cha kufanya:A S-baby:
 
[QUOTE=prianka;wamezidi kama nakua cmridhishi c aniambie 2jue nini cha kufanya:...ni ya kweli madai yako,je si vema kumwachia nyeti zake kisha mkae chini vile masuala haya yanazungumzika ili kufikia muafaka na kupanga mikakati mipya ya kupeana penzi litakalomtosha kila mmoja!
 
safi sana

Wewe utakuwa na matatizo ya akili sio bure maana unaonekana ni feminist na hii itakuwa ngumu sana maishani mwako kuolewa,sijawahi kuona feminist aliyeolewa,usije ukasema kwamba ulilogwa ati wanaume hawakutaki kumbe misimamo yao hiyo.
 
Wewe utakuwa na matatizo ya akili sio bure maana unaonekana ni feminist na hii itakuwa ngumu sana maishani mwako kuolewa,sijawahi kuona feminist aliyeolewa,usije ukasema kwamba ulilogwa ati wanaume hawakutaki kumbe misimamo yao hiyo.
utakaa sana hizo ni dua la kuku halimfikii mwewe anachukua kifaranga tu we nani bana wewe unanitaka niwe mnafki au safi sana uzinzi ni zambi!!!!!!!!!
 
JICHO LA TATU said:
kwa hiyo kimenyofolewa,NYOFOOOOOOO[...Yap,mpaka leo hali ya mgonjwa siyo mbaya kwani kidonda kimepata nafuu.Kuna Wachina wamejitolea kumhudumia mgonjwa na kuhakikisha anapona mapema.
 
Back
Top Bottom