Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,962
Mzazi wa namna hiyo anapaswa kabisa kupimwa akili zake Milembe, Baba ambaye mimi nakubali asamehewe ni hhawa wa dizaini waliopena ujauzito wakiwa shule na wote kiumri wako under 20 na isitoshe mwanaume hana kipato naye anategemea pesa za kupewa, huyu anaweza kusamehewa lakini jitu zima na akili zake na kipato chake unatelekeza mtoto!? hapa huwezi kuwa na akili timamu.Red - naomba kuanzia LEO uwe unatumia neno MIMI kama mzazi pliiiiiiiiiiiiiiz....................kuna wababa wenye watoto wao na DNA wamepima wana uhakika wala hawajasingiziwa na bado hawatoi hata sumni kuwalea hao watoto. Na utakuta wana uwezo mzuri sana wa kuwalea hao watoto,tena basi wengine hawaja jaliwa hata kupata watoto wengine.
Haiingii akilini mimi nilikuwa na Girlfriend nikiwa shule lakini akaja kuolewa na mtu mwingine kwa sababu sikuwa tayari kimaisha na nilikuwa napiga deiwaka ughaibuni, lakini mpaka leo akiwa na shida ya pesa huwa namsaidia kama ninazo licha ya kwamba ana mume wake na mimi sifanyi naye kabisa ngono, ndio nithubutu kumtelekeza mtoto wangu mwenyewe?