Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae

Ilkham

Member
Jul 16, 2017
16
11
Habari za humu,

Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana, awe anajielewa, asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara, miaka kuanzia 28-34 awe muislam.

Mimi ni binti wa kawaida sana,

Mawasiliano zaid Private Messages.

Tafadhali lakini sio kwa ajili ya majaribio

Karibuni
 
Zunguka mtaani kwenu/ maeneo ya kazini n.k rahisi kupeleleza uhalisia wa maisha yao ya kila siku...! Humu utanipata mvutaji mzuri na mnywaji hodari ila nitatulia kwa muda ili nikupate tu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Habari za humu

Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana
awe anajielewa,asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara,miaka kuanzia 28-34
Awe muislam

Mimi ni binti wa kawaid saaaanaa,mawasiliano zaid Private Messages.Tafadhali lkn sio kwa ajili ya majaribio

Karibuni


Mhhhhh, ilibidi utoe tu onyo kuwa hutaki mwanaume wa Dar ili usipate wanaume tata kujitokeza. Kwa Dar haijalishi muislam, mkristu, mpagani....utata umejaa kila kona. Wanaume tata wamejikita kwenye taarab na bongo fleva wakisubiri kushikishwa ukuta na kina Wolper na Maimartha Jesse.
 
Mwanaume huyo ina maana sasa hivi si mume? Maana mume maana yake ni mwanaume. Sasa unapomhitaji saa hizi ili aje awe mume kwani sasa hivi ni mwanamke?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume huyo ina maana sasa hivi si mume? Maana mume maana yake ni mwanaume. Sasa unapomhitaji saa hizi ili aje awe mume kwani sasa hivi ni mwanamke?

Post sent using JamiiForums mobile app
Ndio saiz c mume ni mwanaume

Pale atakapo nioa ndo atakuwa mume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom