Mwanaume aliye serious

Ubuyu wewe jasiri kutafuta mwanaume mtandaoni inahitaji moyo mgumu.
 
Mimi n mwanamke mwenye miaka 27 nahtaji mwanaume wa kuishi nae mimi,nipo serious,maelezo zaid n pm tzngumze kuhusu dini,kazi na nnapoishi,kejeli pembeni
>>>>Nimeshafika Inbox kwako... naomba unipokeee
 
Mimi n mwanamke mwenye miaka 27 nahtaji mwanaume wa kuishi nae mimi,nipo serious,maelezo zaid n pm tzngumze kuhusu dini,kazi na nnapoishi,kejeli pembeni
Mwanaume wa kuishi nae au wa kukuoa kabisa??
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
una pesa ya kuishi na huyo mwanaume suruali?
 
Daah! Nyakati hizi wanaume wachache saana nahisi kigezo cha umri sina hapo.. kila lenye kheri mdada
 
Weka maelezo yote hapa mtu akija pm mnapanga mipango yenu sasa pm kuulizana maswali yann uwo mda wa maswali mngwkuwa mnapanga mambo mengine
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
Umefungua account kwasababu ya kuleta kutafuta mchumba kira raheli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom