Yaani Unaleta propaganda Kwenye ukweli kabsa, Au Vyura assistance referee ndo imesema hivyo, tuma video nzima sio screenshot ya pale mpira upo hewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Unaleta propaganda Kwenye ukweli kabsa, Au Vyura assistance referee ndo imesema hivyo, tuma video nzima sio screenshot ya pale mpira upo hewani.
Timu ya simba ilipoteza nini kwa bata zake ?Uchebe alikua bata boi....
Na alikua anakula bata na wachezaji washikaj zake ikafikia kukawa akuna nidhamu ya team mtu anakuja tiz morning kocha kalewa mkude nae ana hangover ya ela yote!
Sent using Jamii Forums mobile app