Mwanasiasa nguli Tanzania,Mhe Dr Agostino Mrema kuunguruma Leo JIMBO LA kinondoni

hassan kisabya

hassan kisabya

Senior Member
166
250KATIBU MKUU WA TLP, Mhe Nancy Mrikaria,anapenda kuwataarifu akina mama na akina baba kuwa Mhe.Dr Augustino Lyatonga Mrema Mwenyekiti Wa Taifa wa bodi ya Parole na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa TLP atafanya mkutano mkubwa wa adhara utakao leo tarehe 01/02/2018 muda saa nane kamili mchana (8:00) katika viwanja vya stendi ya zamani ya mwenge
Mhe Mrema,atamwaga sera na kumnadi mgombea mbunge wa chama cha Tanzania Labour paty(TLP) Dr. Godfrey Malisa, watasikiliza shida ,KERO na changamoto za wananchi na kutoa masuluhisho ya kutatua matatizo ya wananchi wa jimbo la kinondoni anawaomba wanakinondoni bila kujali chama kufika kwa wingi tusikilize sera za mgombea wao ,amekumbusha kuwa hii ni fursa ya wanakinondoni kusikiliza na kupima uwezo na sera bora ili kupata muelekeo wa kujua nani anastahili kuchaguliwa na nani anaweza kuwa mwakilishi wao makini na anayeweza kumaliza shida ZAO.
ikumbukwe kuwa UCHAGUZI NI tendo na utashi na itakuwa makosa IKIWA mwananchi atabaki nyumbani akiamini ATAKAYECHUGULIWA NI CAHGUO LA WOTE BILA YEYE BINAFSI KUPIMA NA KUJIRIDHISHA ATAKUWA ANAJINYIMA HAKI YAKE YA MSINGI.
KARIBUNI.
Imetolewa na ofisi ya Katibu MKUU,
chama cha TLP
MAKAO MAKUU - MAGOMENI
DAR ES SALAAM.
 
ngalakeri

ngalakeri

JF-Expert Member
1,269
2,000
Ha ha ha eti mwenyekiti wa parole, nancy anapenda kiki, mwisho wa siku Mrema atasema mchagueni mtulia.
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom