Mwanasiasa, mbunge, mchungaji, nabii, mwenye shule, Chuo, Chuo Kikuu, redio na....

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
HEBU zitazame shule zako eti, maana toka shule zifunguliwe msimu huu matatizo ya watoto kukosa magari ya uhakika yamezidi. Basi moja limepata ajali za kipumbavu tu mara mbili.
Mama, tunazipenda shule zangu lakini jairbu na wewe kutokana na ada tunayolipa kututendea sisi wazazi haki.

Watoto pamoja na usafiri mbovu tunaambiwa eti wanakula maharagwe kila siku wakati kuna shule zinazotoza chini ya hapo lakini watoto wanapata kuku na samaki angalau mara moja moja kwa wiki.

Nakushauri fedha zinazotokana na ada ya shule sio faida ya kwenda kujenga kanisa jingine au shule au chuo kingine bali ni za kuboresha mazingira ya shule husika pamoja na kuwaongezea walimuwa wako wanaolipwa laki mbili kwa mwezi jambo ambalo haliendani kabisa na hadhi ya shule zako.

Kua tofauti. Badilika. Kila mtu nchini sasa anakujua, na nadhani Mungu na malaika mbinguni wanakuona na kukusikia kila siku. Unachotaka zaidi mama huko CCM na serikalini ni nini-Uwaziri kiasi cha kutumia ada yetu kukipiga chama chako?
 
HUYU NAYE NI golddigger
anajifanya ana huruma kwa watz ila haoni umuhumu wa kuukosoa mfumo unaowaletea wanainchi shida
 
HEBU zitazame shule zako eti, maana toka shule zifunguliwe msimu huu matatizo ya watoto kukosa magari ya uhakika yamezidi. Basi moja limepata ajali za kipumbavu tu mara mbili.
Mama, tunazipenda shule zangu lakini jairbu na wewe kutokana na ada tunayolipa kututendea sisi wazazi haki.

Watoto pamoja na usafiri mbovu tunaambiwa eti wanakula maharagwe kila siku wakati kuna shule zinazotoza chini ya hapo lakini watoto wanapata kuku na samaki angalau mara moja moja kwa wiki.

Nakushauri fedha zinazotokana na ada ya shule sio faida ya kwenda kujenga kanisa jingine au shule au chuo kingine bali ni za kuboresha mazingira ya shule husika pamoja na kuwaongezea walimuwa wako wanaolipwa laki mbili kwa mwezi jambo ambalo haliendani kabisa na hadhi ya shule zako.

Kua tofauti. Badilika. Kila mtu nchini sasa anakujua, na nadhani Mungu na malaika mbinguni wanakuona na kukusikia kila siku. Unachotaka zaidi mama huko CCM na serikalini ni nini-Uwaziri kiasi cha kutumia ada yetu kukipiga chama chako?

Wewe si uko nae huko ccm na bungeni kwa nini usimwambie huko au umesahau ule utaratibu wenu wa vikao vya ndani!
 
Uchungaji na Uanasiasa ?!!

Cha ajabu kipi? Yusuph Yakobo ...houseboy, mfungwa, nabii (maana aliitabiria misri) then mwanasiasa katika nchi wasiomjua MUNGU WA ISRAEL........TUNAYAWEZA MAMBO YOOOTE KATIKA YEYE ATUTIAYE NGUVU

mix with yours
 
Uchungaji na Uanasiasa ?!!
yaani politics na uchungaji mhhhhhhh
unajua kwa politics kuna cheating sanaaa hasa wakati wa uchaguzi wakati kwa neno la mungu kunataka ukweli na maisha ya uadilifu
 
Kwani hairuhusiwi?au amevunja mkataba mliowekeana wakati unampeleka mwanao?.kama ameshindwa kutekeleza aliyoahidi kwenye mkataba wake kati ya mzazi na shule anastahili kuambiwa ili atekeleze hata kama ni kutumia mshahara wake wa ubunge
 
welcome back kapwani... naona pumba hazijakauka shimoni mwako

@MBUNGE... ACHA UNAFIKI, MWAMBIE LIVE NI MWENZAKO NA UTAJE JINA SIO UNALETA UNAFIKI NAFIKI HAPA, SEMA KABISA WEWE MAMA LWAKATARE NA WALE TIMU YAKO YA DMIN MMESAHAHU LENGO KUU LA SHULE SASA MNAHAMISHA PESA KWENDA KWINGINE SHULE ZINAYUMBA KWISHA!!!
 
If we realize our potentials, we wont accept such cunning Mama to pay us as she want! But because we think little with poor vision, we always blame. Why cant you withdraw ur kids from such a school and take them to better school. To me there is education!. Cjawai kusikpha hata nikiambiwa kuwa matokeo yake ni mazuri, pomoja ni mihela yove mnayolipa.
 
Mama lwak ni msaníi balaa niliwahi pata tenda ya kupaka shule zake rangi ,teachers wa pale wengi ni wakenya tena wanaletana hawana vibali ndo madmnstrator Wote ni otieno.obare oriwo .owiti. owinyi ni ful ,ubaguzi yuko kipesa tu na anamatusi balaa kwenye sherehe zake ni pombe tu.mzazi mwenye mtoto marys yoyote asipokuwa makini atajuta
 
Hivi yule wa chadema pale iringa mjini naye si mchungaji?

Inafaa ila wawe mfano mzuri wa kuigwa, maana wenye haki watawalapo nchi hufurahi.
Tuachane na viongozi washirikina na wezi. Wajitahidi kusema ukweli hata kama ni kufa wakitetea haki
 
umeonaeee ! nafkiri uzalendo ndo unatakiwa uwe mbele!!!!!
ila kwa nji hiii mmmh matata matupu:A S-rose:
 
HEBU zitazame shule zako eti, maana toka shule zifunguliwe msimu huu matatizo ya watoto kukosa magari ya uhakika yamezidi. Basi moja limepata ajali za kipumbavu tu mara mbili.
Mama, tunazipenda shule zangu lakini jairbu na wewe kutokana na ada tunayolipa kututendea sisi wazazi haki.

Watoto pamoja na usafiri mbovu tunaambiwa eti wanakula maharagwe kila siku wakati kuna shule zinazotoza chini ya hapo lakini watoto wanapata kuku na samaki angalau mara moja moja kwa wiki.

Nakushauri fedha zinazotokana na ada ya shule sio faida ya kwenda kujenga kanisa jingine au shule au chuo kingine bali ni za kuboresha mazingira ya shule husika pamoja na kuwaongezea walimuwa wako wanaolipwa laki mbili kwa mwezi jambo ambalo haliendani kabisa na hadhi ya shule zako.

Kua tofauti. Badilika. Kila mtu nchini sasa anakujua, na nadhani Mungu na malaika mbinguni wanakuona na kukusikia kila siku. Unachotaka zaidi mama huko CCM na serikalini ni nini-Uwaziri kiasi cha kutumia ada yetu kukipiga chama chako?

Hujamhamisha/hujawahamisha mtoto/watoto wako St Mary's hadi leo! Unaua future ya huyo/hao mtoto/watoto. Hizo sio shule tena
 
st marys ya mbagala,dereva wa school bus alikua ana mchezo wa kumnajisi mwanafunzi wa kike kwenye trip anamweka wa mwisho kumshusha,kesi kwenda shule mama lwakatare akahonga pesa kesi isiende polisi eti itachafua jina la shule!mzazi akagoma
 
Back
Top Bottom