Mwanasiasa maarufu miaka ya 1990 Ngunagwa Ndembela yuko wapi siku hizi?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Jina la Ngunagwa Ndembela lilikuwa maarufu sana miaka ya '90. Je kuna mwenye taarifa naye ni wapi mwanasiasa huyu yupo? Itakuwa vema anayejua akatufahamisha hapa jukwaani.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la Ngunagwa Ndembela lilikuwa maarufu sana miaka ya '90. Je kuna mwenye taarifa naye ni wapi mwanasiasa huyu yupo? Itakuwa vema anayejua akatufahamisha hapa jukwaani.
Asante..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hatumjui ingekuwa vizuri ukieleza alikuwa mwanasiasa wa mkoa upi na chama gani
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom