Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Utingo, Mar 4, 2011.

 1. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mwanasiasa gani Tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa?-pilau, kanga, tshirt, kofia, scarf, usafiri wa bure, wasanii wa bongo flava kutumbuiza? Mimi nakumbuka nilikuwa Jamhuri stadium Dodoma mwaka 1989 au 1990 Nyerere akiagwa alipoamua kuachia uenyekiti wa chama na wakati alipohutubia baada ya Madiba kutoka gerezani, ile ya Mei Mosi mbeya 1995 ya Mwl Nyerere. Sijaona nyingine tena mpaka hii ilipotokea.

  [​IMG]
   
 2. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Umenena ukweli tupu, Dr wa kweli Slaa anamvuto sana kwa sasa na hakuna mwanasiasa mwingine kwa hapa Tanganyika anayeweza fananishwa nae, sifa za Dr Phd ni:
  Mpole,
  Mnyenyekevu,
  mtulivu,
  mkweli,
  mpenda watu,
  anaufahamu mkubwa,
  anaona mbali,
  anauchungu wa kweli na nchi yake,
  hana makundi
  hajivuni
  haogopi
  hapendi mafisadi na wahujumu uchumi wa nchi
  na nyingine nyingi zinazofanana na hizo.

  sasa watanzania tutaulizwa siku moja niliwaletea kiongozi awezaye kuwatoa katika ndimbwi la matatizo yenu nanyi hamkuona sasa mnataka nini?

  nasi tutakuwa hatuna cha kujibu? bali kusutwa na watoto au hata wajukuu wetu.

  Dr Phd Slaa ndie kiongozi wa kweli wa Tanzania ya sasa.
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dr slaa anaweza kufananishwa na nyerere peke yake kwa umaarufu. ccm
   
 4. K

  Kagasheki Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi kwa asilimia zaidi ya 100,itachukua muda mrefu kumpata mwanasiasa mkweli,mwenye mvuto na uchungu wa nchi yake wa aina ya Dr.Wilibroad Slaa.Kipindi chake cha ubunge wa karatu kimethibitisha hilo na haswa michango yake alipokuwa bungeni pia imedhihirisha ubora na umakini wake.Ni bahati mbaya sana kwamba nchi hivi sasa imepoteza dira na mwelekeo kama chama tawala na wananchi wameng'amua ukweli kuhusu hilo na siku si nyingi taifa litaparaganyika kabisa.Tuna imani kubwa na CHADEMA kama wataendela kuwa imara kwa siku za usoni,maana ndilo tumaini pekee la watanzania wanyonge na maskini lililobakia.Ni suala la muda tu itajidhihirisha wazi kwa ombwe la uongozi lililopo hivi sasa
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni Slaa tu !
   
 6. B

  Batale JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,070
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Dr Slaa ni rais wa watanzania werevu na itabaki hivyo.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Halafu hawa walemavu wanakuja Maelezo kutoa kauli za kipuuzi eti wanaogopa machafuko. Watulie tu maana hakuna mwenye shida nao. Wana changamoto za kutosha hivyo wasubiri tu neema toka kwa wateule kama CDM
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe.
   
 9. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  du!!! eee bwana eeeh. Ndo maana mkulu anakosa usingizi. Aisee hii maneno ya wapi chalii
   
 10. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tunamshukuru Mungu kwa kiongozi kama huyu kazi aliyofanya ni kama ya Yohana mbatizaji kusafisha njia ya ukombozi.... mchango mkubwa kuhusu elimu ya uraia kwa TZ ili siku za usoni tupate uhuru.
   
 11. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hivi wewe ndo mbunge wa bukoba?? Au ni ndugu yako?? Au ni majina tu yamefanana??
   
 12. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe kuwa mwangalifu hapo kwenye red! Hiyo PH. D unayoshadidia mbona magumashi tuu? Au unajifanya kipofu!
  PH. D inafanywa baada ya vi-certificates tuu?, hamna Bachelor wala Masters uliona wapi? Hicho chuo kilicho mpa hiyo PH. D sidhani kama kinatambuliwa na bodi huru! Labda papa peke yake!

  ========================================================

  EDUCATION
  International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

  TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

  St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

  St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

  Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
  Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

  Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
  Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

  Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
  Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
  Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

  ========================================================
   
 13. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama kweli tunataka maendeleo ya kweli this the right person. Ni bahati sana kupata kiongozi mwenye upeo mkubwa kama huyu. Badala ya kumuenzi na kumpa nafasi tunampiga vita. Ee Mungu tenda miujiza watanzania tujikomboe
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Bongo kuna mambo ya ajabu kwamba katika umati huu, bado unadiriki kuchakachua kura uonekane wewe ndiyo unaye kubalika
   
 15. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  ni kweli umaarufu huu unatishia usalama wa mafisadi ndio maana matamko kila kukisha .watanzania hawakumchagua kikwete na ccm yake hiyo ni dhahiri
   
 16. Runner

  Runner Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI Dr.Wilbrod Slaa ndo aliyebakia na hakuna mwingine
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Tuangalie hizi picha kisha tujifariji kama mrema vile akikumbukia alivyokuwa anasukumwa kwenye gari, kwa kweli wabongo wasanii, kumnanga mzee wa watu walitaka kumuuwa kwa presha? ndio maana kawa kichaa siku hizi anauawa ma RC.
   
 18. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hii mada umeichomekea kwa kutumia saikolojia ya juu..
  unavyoingia ukisoma intro tu bado unakuwa blind..lakini ukiscroll down unapata jibu mara moja.
  Big up kwa kutufikirisha kidogo..baadhi tumezoea kuparamia headings tu na kuanza..
   
 19. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Dr. Slaa pekee, hapo Makamba, Kikwete na CCM yao wanatamani kujinyonga. Kikwete ananywea kila siku zinavyozidi kuongezeka. Zile mbwembwe wakati anahutubia hazipo tena.
   
 20. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  ccm kupata umati kama huo ifanyike kazi kina joti, bongo flavour , usafiri wa malori wa bure, pilau,tisheti za bei rahisi angalau ndo watu wanajaajaa poleni sana mwisho wenu uko jirani
   
Loading...