Mwanasiasa atajuaje kwamba haya siyo maneno ya uchochezi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,450
Binafsi naelewa vizuri maana ya maneno ya uongo au uzushi yanapotumiwa na wanasiasa huitwa " propaganda"

Naomba kuelimishwa juu ya maneno ya uchochezi Tafadhali maana uchaguzi hauko mbali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Usiongee km wanasiasa wa Chadema na zito
Angalia mfano mdee, lissu nk kwenye hotuba zao kila baada ya maneno kadhaa wanatia lugha za matusi, dhihaka nk
 
Binafsi naelewa vizuri maana ya maneno ya uongo au uzushi yanapotumiwa na wanasiasa huitwa " propaganda"

Naomba kuelimishwa juu ya maneno ya uchochezi Tafadhali maana uchaguzi hauko mbali.

Maendeleo hayana vyama!
Unapokisema chama kilichoshika hatamu na kukikosoa,dhihaka,dharau etc huo Ni uchochezi
 
According to ccm point of view maneno ya uchochezi ni pale mtu anapoamua kuueleza umma ukweli juu ya madudu yaliyopo kwenye system na adhabu yake inaweza kuwa kupotezwa na wasiojulikana au open attack kama iliyomkuta Lissu
 
Maneno ya uchochezi: ni maneno yanayotolewa na mtu au kikundi cha watu kwa dhumuni la kushawishi au kuhamasisha watu au kikundi cha watu kufanya ama kushikiriki kwenye shughuri flani. Inaweza kuwa ni shughuri yenye matokeo ya positive au negative.

Hivyo ndivyo ninavyo jua mm maana ya maneno ya uchochezi
 
Back
Top Bottom