Mwanasheria wa serikali analinda katiba iliyomweka madarakani

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Nimeshangazwa na Kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali kupinga mchakacho wa kuwa na katiba mpya, ila anatunga hoja ya kuweka viraka kama ilivyozoeleka kusudi uchakachuaji uendelee. Huku ni kudharau madai ya wananchi kwa ajili ya kulinda maslahi binafsi? Kwa nini serikali inaogopa katiba mpya?
 
Mapokeo ya utawala wa kulindana Tanzania ukiwa kiongozi unatakiwa kutoa kauli inayolinda ajira yako vinginevyo waliokuweka madarakani watakunyofoa
 
Tawi la mti ulilolikalia mwenyewe utalikataje? Unataka uutandike msamba chini?
 
Back
Top Bottom