johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,718
- 141,581
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!