Tetesi: Mwanasheria nguli David Kafulila kugombea ubunge Kigoma mjini 2020

Hilo hata mimi nalipa 85% kwa mazingira ninayoyaona. Ila tuweke kumbukumbu sawa Davidi Kafulila sio mwanasheria .
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Tumbili hawezi kupata tena ubunge labda Aron Kagurumujuli, awe msimamizi... nikupoe gari halafu umtangaze mpinzania mshindi!........
 
Waislamu hao wa ujiji hawawezi kumpa mkristo huyo kura kigoma mjini
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!

Saaaafi sana hiyo, ma-snitch wote 2020 OUT by any means necessary!
Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. Out!
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
tumbili atafute jimbo jingine.
kumshinda Zitto hapo ni ndoto ya alinacha, labda mum-Lissu kwanza!
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Unachunga punda wangapi?
Kigoma mjini Zito hatoki leo wala 2020, si vibaya Kafulila akamsindikiza.
 
Zitto anatakiwa aachane na mambo ya Ubunge kwa sababu hawezi kufanya vizuri kuliko alivyofanya huko nyuma kabla ya kuharibu kwa kutaka umaarufu mapema.
CHADEMA ndiyo iliyompa umaarufu lakini baadaye yeye akajiona ni maarufu kuliko CHADEMA kwa kutaka madaraka ya juu kabla ya muda. Alijenga uswahiba na Rais aliyekuepo madarakani kwa sababu ambazo hata chama chake kilishindwa kuzielewa.
Ni wakati mwafaka sasa Zitto kujiandaa kugombea Urais mwaka 2020 ili alete changa moto kwenye majukwaa ya kampeni.
Tunajua atashindwa vibaya lakini atakuwa ameweka Historia na kuipamba CV yake vizuri zaidi.
 
Atatoka apende asipende!
Kwa wizi wenu inawezekana.
Kafulila mlimtoa alipowakomalia kuhusu wizi wenu wa escrow, sasa amerudi kundini mwa majambazi mtapatia jimbo tu.
Na Zito kawakomalia kuhusu wizi wa 1.5tr, mnatamani kumuua nyie wauji wakubwa.
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
Nilikuwa Kigoma siku nne zilizopita nikifanya Political Analysis. Kafulila HATASHINDA hata afanye uchawi wake kiasi gani.
 
Nipo hapa Kigoma Ujiji na habari ya mjini ni tetesi kwamba Kafulila atagombea ubunge kwenye jimbo la Kigoma mjini. Kwa sasa jimbo hilo linashikiliwa na Zitto Kabwe wa ACT wazalendo. Source mimi mwenyewe nikiwa katika ssfari ya kichungaji Ujiji Kigoma!
David kafulila ndiyo Nguli? Nakuhakishia hapati, atoke huko tumbili mkubwa
 
Back
Top Bottom