kwa hiyo?Hii habari ni ya mwaka 2013.
outdate
Naskitika kwamba umechelewa kuiskia na unaona ni new news.Polekwa hiyo?
HahahaaaaaaaAkitaka shauri liende fasta na liteke headlines za vyombo vya habari duniani namshauri akaifungulie katika mahakama za Iran. Issue yenyewe inaihusu Israel! Mbona hukumu ni siku hiyo hiyo.
Mkuu mbona unaguna, toa ya moyoniMmmmm
Amefufuka eeh!! na atakapoomba aletwe ili kuthibitisha watamtoa wapi?Hii kesi itatupiliwa mbari maana anaedaiwa kufa alifufuka kwa mujibu wa unabii nasasa yupo hai.