Mwanasheria mkuu zanzibar;mkataba wa muungano haujawahi kuridhiwa na baraza la wawakilishi

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Mwanasheria mkuu wa zanzibar ndugu othaman masoud amesema leo katika baraza la wawakilishi kuwa mkataba huo wa muungano haujawahi kujadiliwa na kuridhiwa na baraza la wawakilishi zanzibar ila kwa upande wa tanganyika ulijadiliwa;hivyo hakuna hata sheria yeyote imetungwa znz ya kuridhia hata za muungano znz source;ismail jussa fb
 
Hoja haina maana tena hii kwanza wakati huo yeye alikuwa hajazaliwa alijuaje aache bangi zake.
 
Hawa watu ni wa ajabu sana yaani hawaeleweki kabisa, wakienda Dodoma wanazungumza mengine wakirudi kwao Zenj wanazungumza mengine, haya ni maelezo mfu maana yake ni ya kuyapuuza tu.
 
Back
Top Bottom