Mwanasheria Mkuu Zanzibar aweweseka kujibu mapigo ya Tundu Lissu

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
Katika sintofahamu ya wanasheria wa AG Chambers ya serikali ya Muungano kushindwa kujibu bayana mapigo ya chama ch upinzani CHADEMA kupitia mwanashria wake na Waziri kivuli wa kambi ya upinzani, Ndg Tundu Lissu,hatimaye majibu yameanza kujitokeza,ingawje si rasmi.

Pamoja na kutokuwa kamilifu , majibu hayo yamejitokeza kwa njia ya kulalama ndani ya Baraza la Wawakilishi, Zanzibar.

Mimi binafsi sikubaliani na jinsi ya mlolongo wa suala lenyewe la mabadiliko ya katiba ya Zanzibar lisivyopata maelezo yanayokidhi katika Bunge letu la Jamhuri ya Muungano.

Kwamba majibu haya ya third party,tena kwa njia ya kulalama,ni precedence ya suboordination kwa masuala yanayohitaji maelelezo muhimu kwa waTanzania.

Katika gazeti la Mwananchi Jumapili Julai 8 2012,u.k. wa3, nanukuu:

"Mwanasheria Mkuu Z'bar amshukia Tundu Lissu

Na Salma Said , Zanzibar,

Mwanaseheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amemshukia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kueleza kuwa hafahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar yaliyo leta Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
"

Sasa kwa sisi ma-laymen wa masuala haya, kama wabunge wa Bunge la Muungano hawafahamu masuala haya ya mabadiliko ya katiba huko Zanzibar, nani anayepaswa kuyafahamu?
Na yanaleta hitilafu au athari gani katika utawala wa nchi?
 
Tatizo kubwa la wenzetu waZenji ni ile tabia ya huku wataka na kule wataka. kimsingi wana matatizo na kama alivyosema Mwalimu, Zanzibar ikijitenga Tanganyika itabaki salama.
Katika sokomoko lote hili Tanganyika wako kimya, lakini muda ukifika enough will be enough.
Huyu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar bado hajaelez. Yaliyojiri katika muafaka huo kw hiyo wla hakuw na sababu ya kuweweseka maana kama haya tuhusu hayatuhusu.
 
Hawa jamaa kumbe muungano wanautaka..zile fujo ilikuwa ni kupinga makanisa sasa wanajionyesha wazi.
 
Sababu ya message ya Wazanzibar kutokua consistent ni kuwa wao hoja siku zote ni kupinga chochote kinacho semwa na mtu asie Mzanzibar (yani Mtanganyika). Leo mkitaka Wazanzibar wapinge kitu basi kitetee na ukitaka wakitetee basi kipinge.
 
Hawa jamaa kumbe muungano wanautaka..zile fujo ilikuwa ni kupinga makanisa sasa wanajionyesha wazi.

Wanajua sasa kipofu kesha gutuka, jinsi waTanganyika walivo chukizwa na vitendo vyao.
Karibu na sehemu ninapoishi kuna Mpemba aliyekuwa kidomodomo sana. Basi majuzi baada ya vurugu huko Zenj jamaa majirani wakaanza kujinadi kuchukua hiyo nyumba.
Mpemba kashika adabu
 
Wazenji wote midebwedo,hata akiwa kasoma kiasi gani hana tofauti na mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom