Mwanasheria Mkuu wa Serikali, haupo sahihi kwa hili

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,529
Unadai ununuzi wa madawa ya binadamu udharula wake ni sawa na manunuzi mengine.

Ni vyema ukakubali ushauri aliotoa mh hawa ghasia ya kwamba udharula wa ununuzi wa madawa(uzazi wa mpango) huwezi linganisha na vitu vingine wakati wa ununuzi.

Ucheleweshaji wa dawa unaweza kupekekea vifo ndani ya muda mfupi,mimba zisizotalajiwa ,kwa hiyo sio vema mchakato wa ununuzi wa dawa za binadamu ukachukua zaidi ya miezi 4.
 
Back
Top Bottom