Mwanasheria mkuu wa Serikali:Hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,tuboreshe iliyopo

huyu mtu ananishangaza sana mbona anataka kuwa na mamlaka makubwa hivi si ndo alisema amefunga suala la dowans
sasa na la katiba pia anataka kulifunga?? :teeth:hasira kweli kweli
Kumbe alifunga suala la Dowans sasa mbona mahakama gani sijui imelifungua?
 
Back
Top Bottom