Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick
Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia
leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali
ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete,
Jaji Werema amesema kuwa ameomba
kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana
na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow
hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema
kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu
na uadilifu.
 
JK acha sound bana.
Mpige deal na AG then leo unamwambia ajifanye anajiuzulu, mlipiga deal longtime so AG ana kesi ya kujibu.

__________________

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Mkuu hapo kwenye red uwe unaangalia na povu linalokumwagika kabla haujalowanisha watu.
 
Ndio nasikiliza hapa kupitia ITV..... hahaaaaaa maazimio hoyeeee
 
Back
Top Bottom