TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Rest In Power Mshua.

Mnapotunanga Wasukuma muwakumbuke hawa washua, the Bomanis, Justice Nyalali, Chief Makwaia etc. Washua wenye heshima zao walioitumikia nchi vizuri sana.

Siyo kuwaangalia hawa wengine kina Bashite na Mzee Baba wake waliokuja mjini na kajamba nani juzi tu.
 
Usimsahau sir kahama
 
John Rupia pia,msukuma na mtanzania wa kwanza Tajiri alietoa pesa zake kumsaidia Julius aende Ulaya kuomba uhuru.
 
Baba yako alivuna alichopanda
W
Wateule wanampenda ila mimi mwananchi wa kawaida namchukia sana.Kamfukuza kazi ya ualimu baba yangu kisa cheti,walimuajiri vipi?mbona wanafunzi aliokuwa anawafundisha wafaulu kwenda sekondari
 
Hivi uko hapa Tanzania kweli ? Huyo Lussu wako hata 10% ya kura hatapata
Kwani ujui shughuli za siasa zilizuiwa,pia Lisu amewaongezea watz ujasiri wa kusema.
Ila tujiandae kulimia kucha Safari Kama makosa ya 2015 yatajirudia.Hivo visasi sio vya nchi hii Kama watumishi tu wanakomolewa kimakusudi eti walimpigia kura Lowasa 5 yrs back still wanashughulikiwa Hadi sasa,vipi nyie watz mnaojaa Hadi kwenye mikutano ya Lisu,jiandaeni na magunia ya visasi.
Tukirudia Tena kosa tumekwiishaa
 
Huyo kati DJ Red?

Wanafananafanana sana.

Mtoto wake wa kwanza, Heri Bomani nae alikua DJ anaandika hivyo hadi kwenye CV yake kwamba ni DJ, DJ Red ndio ilikua utambulisho wake kama sikosei. Ni huyo wa mwanzo kulia. Amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB akitokea Standard Chartered Bank.
 
Mtoto wake wa kwanza, Heri Bomani nae alikua DJ anaandika hivyo hadi kwa CV yake kwamba ni DJ, DJ Red ndio ilikua urambulisho wake kama sikosei. Ni huyo wa mwanzo kulia. Amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB akitokea Standard Chartered Bank.
Thanks bro. Namkumbuka kutoka siku za East Africa FM.

Mshua siku moja alirudi home, alisema ametoka kukaa kikao na Jaji Bomani na Jaji Nyalali, aliwasifia sana kwa uwezo wao.

Tumepoteza mzee wa muhimu sana katika taifa.
 
Back
Top Bottom