Mwanasheria mkuu UDOM aacha kazi kwa kukataa mashinikizo

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Mwanasheria mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma ameandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24. Hii imetokana na yeye kushindwa kuendelea kuvumilia kitendo cha uongozi wa chuo hicho kuwa na tabia ya kumshinikiza kufanya mambo ambayo ni kinyume na taratibu za kisheria ambayo humfanya kushindwa kesi nyingi na hivyo kuiweka taaluma yake matatani. Moja kati ya kesi anazoshinikizwa ni pamoja na ile ya kumfukuza kazi mmoja wa tutorial assistant kwa kisingizio kwamba alidisco kwe masomo yake ya masters wakati aliahirisha masomo, pia kesi ya kuwasimamisha masomo wanafunzi kwa kisingizio kuwa wamefanya siasa ndani ya chuo. Kesi zote chuo kimeshindwa vibaya.
 
UDOM ni janga la kimataifa...bila kufanya mabadiliko ya kweli kwenye kile chuo, hakika malengo yake hayatafikiwa na faida zake kwa jamiii hazitaonekana. Hiki chuo badala ya kuwa centre of excellency kitakuwa ni sehemu ya kuzalisha watu ambao watakuwa ni majanga kwa Taifa na dunia. UDOM ni bomu linalokwenda kulipuka.
 
Dr Kitila Mkumbo naona unaperuzi hii thread, give us your experience on how to run this universities, ukweli ni kuwa vyuo vingi vya public vimekuwa ni vituko kwasasa. CCM inataka kuingilia mambo utadhani ni taasisi zao kama UVCCM na UWT nk.
 
UDOM wasipo mtimua yule shemeji yake JK PROF Mlacha ambae ni Finance and Admin manager..chuo kitakufa kale kajibwa kajeuriiiii mwanafunzi ukimfata anakwambia kwamba "wewe umenizidi mimi urefu na umasikini tu" af anakutimua nakachukiaje!
 
kama mkuu wa chuo anatoka kwenye wale wenzetu waliokuwa wanafuturisha basi kazi ipo sana mpka chuo kije kuwa stable
 
Ndo maana huwa napenda kusema
wanafunzi wanaoingia wapya wawe mashujaa wakupigania haki zao bila kujali nguvu ya mabomu!!!
 
Hahahaaa, hii nimeipenda sana.

Ina maana jamaa ni Mbilikimo wa kiania hivi.....

Eti umenizidi UMASIKINI na urefu tu. Ngoja 2015 Kikwete aondoke, kitatuzidi na KUFUNGWA.

CIMG9274.JPG

UDOM wasipo mtimua yule shemeji yake JK PROF Mlacha ambae ni Finance and Admin manager..chuo kitakufa kale kajibwa kajeuriiiii mwanafunzi ukimfata anakwambia kwamba "wewe umenizidi mimi urefu na umasikini tu" af anakutimua nakachukiaje!
 
Dr Kitila Mkumbo naona unaperuzi hii thread, give us your experience on how to run this universities, ukweli ni kuwa vyuo vingi vya public vimekuwa ni vituko kwasasa. CCM inataka kuingilia mambo utadhani ni taasisi zao kama UVCCM na UWT nk.

Kitila siyo mzuri katika hili la kisheria, yeye hoja za ugomvi ndiyo bingwa. Hapa aje LISSU tufurahie jazba.

Mwanasheria kilaza yule, utendaji wake wa kazi mbovu na mkataba wake umebakiza siku 6 hadi 31/08/2012 na amekwisha elezwa kuwa hataongezewa. Ananikumbusha DC Kimolo wa Mbeya jamani.
 
UDOM ni janga la kimataifa...bila kufanya mabadiliko ya kweli kwenye kile chuo, hakika malengo yake hayatafikiwa na faida zake kwa jamiii hazitaonekana. Hiki chuo badala ya kuwa centre of excellency kitakuwa ni sehemu ya kuzalisha watu ambao watakuwa ni majanga kwa Taifa na dunia. UDOM ni bomu linalokwenda kulipuka.

Kwa hakika mkuu umenena. Yule Prof. Vice Councellor hana uongozi mzuri hata kidogo. Ndiyo matatizo ya kupeana post kwa kujuana na mambo fulani fulani!!! Niliposikia tu ameteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa Chuo pale pale nilisema, basi kazi kwisha. Kama kweli angekuwa serious ule ujenzi wa wachina wa baadhi ya majengo ni sub-standards, meza za na viti lecture room ni hovyo kabisa, hopeful zimeshakuwa vyuma chakavu. Ni uozo mtupu. Na kwa mwanasheria anayezingatia taaluma na utendaji wa kazi hataweza kufanya kazi na Professor huyu ninayemfahamu vizuri sana. My comrade Kikula step down fof the betterment of UDOM. Hiyo ni investment kubwa ya serikali so it needs committed person to the position!!
 
UDOM UDOM UDOM!!!! Wanasema ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia ucheze...Asilimia 99.9 ya professors wote wa UDOM ni reject huko walikotoka, asilimia 80 ya lecturers wa kawaida ni frustrated ambao kwao mafanikio ni ngono na ulevi kupindukia. Taifa litegemee zao gani hapa??? Ndio maana namkumbuka marehemu prof. Chachage tulikwenda nae Mzumbe akaulizwa kwa nini Tanzania ina graduates wachache akajibu: FEW BUT BETTER
 
Back
Top Bottom