Mwanasayansi wa Iran alibuni teknolojia ya kutambua ndege bila rada na chanjo ya Corona ambayo alikua mbioni kuikamilisha

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Baqeri aidha amesema ulipizaji kisasi mkali unawasubiri waliotekeleza ugaidi huo kwani watafuatiliwa na kufikishwa kizimbani.

Kwa upande wake, Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Amri Hatami amesema Shirika la Utafiti na Ubunifu katika Wizara ya Ulinzi ya Iran, ambalo lilikuwa likisimamiwa na Shahidi Fakhirzadeh, lilikuwa mstari wa mbele kuunda vifaa vya kupima ugonjwa wa corona. Amesema pia alikuwa akiongoza jitihada za kuunda chanjo ya corona nchini na matokeo ya jitihada hizo yatatangazwa.

Huku akilaani mauaji hayo, Hatami amesema Fakhirzadeh alikuwa pia naibu waziri wa ulinzi, na mwanasayansi mashuhuri aliyekuwa na historia ndefu ya ubunifu na aliwapa mafunzo wanasayansi wengi kwa ajili ya ustawi wa kisayansi Iran.

Kwa mfano alihusika katika utumizi wa takenolojia ya miale ya laser katika kutambua ndege za adui pasina kutegemea radar.
 
KAbla hajafa alikuwa anatengeneza mabomu ya Nyuklia.
Wamemuua sasa hivi ndio mnasema alikuwa anatengeneza chanjo?
Ingekuwa ni chanjo kweli hakuna mtu ambaye angemtarget
 
Waarabu waajemi kama waafrika ubinafsi na kusalitiana kwao kawaida shame!

Nasikitika kauawa, wao wenyewe wana mabomu ya nyuklia wanatumia kuwatishia usalama wenzao.
Bwana Kim hajatest mitambo long time!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mosad sio wa mchezo mchezo! Huo mpango wa nuclear Iran wangeachana nao tu ili wawe salama.
 
Ni kweli! Mwisho wa siku Isije hayo mabomu yakawalipukia mnyewe kwa mnyewe!
Inawezekana Yahudi Anaona huruma ya Umati utakao Angamia wa Wairan wasio na hatia pindi ma-nuke yakilipuka. hivyo uamuzi ni kuwashughuli wenye hatia walio kusudia kuifuta Israel juu ya uso wa dunia kwa kuwa-nuke
 
Back
Top Bottom