Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Kuwa mwenezi na kuwa mbunge kupi kuko juu.

Ubunge ni tamanio la kila mtu..mama salma kikwete ameonjeshwa kidg tu...alinogewa na leo ni mbunge wa jimbo la mchinga.

Malecela pamoja na kuwa waziri mkuu na badae kustaafishwa bado alitamani ubunge aendelee kuwa nao, kabla hajadondoshwa na lusinde.

Pindi chana alikuwa balozi wetu pale nairobi majuzi tu..kaachana nao kaja kuwania ubunge wa viti maalumu

polepole kapewa ubunge na aliyempa.kukataliwa kunatoka wapi..
Kwamba unajaribu kuhoji nani yupo juu kati ya katibu muenezi wa chama tawala la mbunge?.

Ni vyema ukaendeleza harakati zako huko facebook.
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Hatuwezi kupoteza muda na rasilimali kwa ajili ya watu wa wanafiki kama hawa.
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Dah

Umesema mwanasaikolojia anaitwa nani?
 
Umeandika ujinga mtupu unadhani hawajui kwamba nothing is permanent including human beings themselves

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
KILA zama na kitabu chake,bahati haiji mara mbili kama hawakujenga zama zao wawe wapole au watumie dola warudi
 
Hao ni madalali wa kuuza wapinzani.Slow slow alipiga chenji kwenye pesa ya kuwanunua wasanii wakati wa kampeni akisaidiwa na steve.
So wawe wapole
 
Kwamba unajaribu kuhoji nani yupo juu kati ya katibu muenezi wa chama tawala la mbunge?.

Ni vyema ukaendeleza harakati zako huko facebook.
Amesahau kauli ya Polepole kwamba katubu wa wilaya anaendesha VIEITi. Je mwenezi Taifa anaendesha nini..!
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Kama hawataki kusaidiwa tunafanyaje?
 
Back
Top Bottom