Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Kuwa mwenezi na kuwa mbunge kupi kuko juu.

Ubunge ni tamanio la kila mtu..mama salma kikwete ameonjeshwa kidg tu...alinogewa na leo ni mbunge wa jimbo la mchinga.

Malecela pamoja na kuwa waziri mkuu na badae kustaafishwa bado alitamani ubunge aendelee kuwa nao, kabla hajadondoshwa na lusinde.

Pindi chana alikuwa balozi wetu pale nairobi majuzi tu..kaachana nao kaja kuwania ubunge wa viti maalumu

polepole kapewa ubunge na aliyempa.kukataliwa kunatoka wapi..
Mkuu uenezi Enzi ya awamu ya tano ulikua kama katibu kiongozi vile, ushawai kutana na pole pole akiwa mikoani yani alikuwa anapokelewa na msafara mkubwa na king'ora juu wakati uko nyuma muenezi alikuwa Hana iyo jeuri... Pole pole aliogopwa Sana ndani ya Chama kwasabab alikuepo around the corridors of power yeye kuongea na raisi moja kwa moja ambae ndo mwenyekiti wa Chama ni jambo dogo Sana.... Hivo uwezi fananisha ubunge tena wa viti maalum na mwenezi wa chama tawala kiufupi unapokuwa mwenezi unakua unamamlaka kumbukuka pole pole alikua anaingia hadi kwene kamati kuu ichi ndo chombo kikuu kinachoipa ipa dira serikali, maamuzi makubwa ya nchi yanaanzia kupikiwa kwene hichi chomo....
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Hawa wanatakiwa wasaidiwe kwa kuwekwa gerezani kwa maovu yao
 
Basi wasaidiwe na waliosababishiwa matatizo kwa matendo yao enzi Yao pendwa🤔 .
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Waachwe tu wapotelee mbali maana walipata madaraka wakajiona wamefika sasa wajibebe!
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Ukweli , Ukweli Mtupu!!!
 
Waachwe hivyo2.
 
Na atakufa! Maana ukijifanya unajua sana kukaa kimya,wakati unaumia ndani kwa ndani,kuna siku utakuja kupigwa na stoke unashindwa hata kusema neno la mwisho na ndiyo inakua mwisho wako!

Wife wangu hua anasema sina kifua! Na kweli Mimi mtu akinizingua namwambia wazi wazi kabisa tukiwa wawili au na watu wakubwa zaidi yetu! Eti unakaa kimya unaumia ndani,kwa kumufichia mkeo kua analiwa nje ya ndoa?? Hapana! Hapana! Kama familia kusambaratika acha isambaratike tu,nitajenga nyingine upya! Even if will take a long time! Lakini nitakua nimeponya moyo wangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuzungumza jambo huponya nafsi ya mtu ila kuumia kwa ndani ni kujichimbia kaburi watu ka Bashiru, kabudi wako kwenye situation mbaya sana hizi habari zilikuja ghafla na hakuna aliyejiandaa, heri Pole Pole anajibwekea ka mbwa Koko kujiponya nafsi ingawa anaweza kukomolewa na wajuba
 
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.

Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.

Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.

Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
hivi Tanzania kuna wanasaikolojia?
 
Back
Top Bottom