Mwanaridha wa Kenya ajiua baada ya kufumaniwa; kazi kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaridha wa Kenya ajiua baada ya kufumaniwa; kazi kweli kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 17, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Bingwa wa mbio za Marathoni samwel wanjiru amefariki kwa kujiua kutoka gorofa ya kwanza baada ya kufu maniwa na mkewe akiwa na kimada
  haabri zaidi zinasema mwanariadha huyo alifika na kimada huyo nyumban mwake na baada ya muda mkewe akaingia na bila kuwa na aibu hata ya kujifungua marehemu huyu akawaachia mlango wazi kama yuko na mkewe ..mkewe alipofungua alikuta wako kitandan kama walivyozaliwa na kuamua kumwambia anafunga mlango na kwenda polisi...habari zaidi zinasema jamaa baada ya kuona isiwe tabu akaamua kuvunja mlango na kujirusha lakini habari za nyuma zinasema bwana huyu alishawahi kukorofishana na mkewe tena kwa swali hili hili la ngono zembe na kufikia kumpiga mlinzi bastola aliekuwa akimsaidia aache kuropokeana na mkewe...kweli za mwizi arobaini

  hata hivyo mwanamke huyo bado anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi na polisi bado wanaendelea kuchunguza aijajulikana walipofunguliwa mlango walikuwa wameshavunja amri ya sita ama lah......wazinzi mwaka huu imekula kwenu ila jamaa anaonekana alikuwa amelazimishwa huyo mke kwa macho tu anaonekana ni zinga la pb...anyway bwana ametoa sijui nani ametwaa...hilo ndilo swali limebaki mi na wewe...marehemu ameacha mke na katoto kazuri mnachokaona....embu wandugu ukiamua kuwa na familia basi jiheshimu najua mwanzoni kuna kusumbuliwa sana sana lakini ifike waakati waamabien ya mkewangu tamu zaidi mi nimezichoka hiizo zenu easy
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hii habari hata mimi imenisikitisha sana. Kijana alikuwa mdogo 24, wife 21. Labda pesa za ujanani zimemchang'anya, na kuwahi kuoa pia wakati anataka kuendelea kutanua.

  Pigo kwa Kenya kwani alikuwa anaendelea kushikilia namba duniani kwenye riadha. Huyo anaelekea motoni tu ingawa si vizuri kuhukumu. maana sidhani kama alipata muda wa kutubu especially ukizingatia pombe zilikuwa kichwani
   
 4. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa alishinda gold medal kwenye michezo ya Olympics, dah! inasikitisha.

  Pdidy hapo kwenye red hata mie sijui.
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Huyo hakuwa na heshima na sijui kwa nini ameamua kujihukumu wa kiasi hicho? ina maana anaogopa media kiasi cha kujitoa roho? nahisi alijikwaa wakati anataka kuruka akafikia kichwa. pole yake na familia nzima
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  unaoa ya nn wkt haupo tayari psychologically?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  unajua ni kweli Kuna pepo la kucheat lakini si lazima ulikubali..kingine mpaka umefikia sage ya kuleta kimada ndani ya nyumba wachaga wanaitwa nukeri cha kite ..yaani sijui nisemeje kama mbwa..mambo mengine mue ndoa ni commitment kama mlikuwa mnachagua mnavyotaka mkiwa bf na gf ujue huku si kama unavyofikiri....kamuulize clinton...jamani sie wenye kupata hata muda wa kusoma kaelimu cha ndoa tusaidiane humu jamani...haya mambo yasitokeee tusichekelee kesho utasikia rey,kanumba sasa ni wakatiwao kujifunza umaarufu sio sehemu ya kuchagua wapi naweza kupimia size ya uuume wako
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wakati mwingine tunajidanganya na mapenzi kumbe tunakuwa hatuko tayari, kinyume chake unaoa halafu bado unataka vya mtaani, aibu
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Muhubiri mmoja anasema wajane wengi wapo kwa kusudi la Mungu..kazi kwako
  mns ukiona mwanamke analalamika sana anaumia roho ujue kazi unayo..soon kinondoni cementry,sinza cementry,kigogo cementry will be your portion if not your hme plce
  come up utubu tuache utoto...
   
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Jamaa inavosemekana alikuwa na nia ya kuruka si kujiua. May be alitaka aruke alafu aende akamfungulie kimada wake mlango au akampe mkewe kichapo kwa nini kawafungia chumbani! SI unajua ghorofa moja si mbali kwa wanamichezo. Nadani kakosea mahesabu wakati wa kuruka.

  Sidhani kama alikuwa anaogopa media. Alikuwa tayari na maskendo ya kutosha!
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kweli mwaka huu ni mwaka wa cheaters! Na ni kweli dhambi za wanaume zinawafanya waishi muda mfupi ukilinganisha na wakina mama!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kosa lake kuowa mapema miaka 24 alikuwa anakimbilia wapi?

  RIP
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Umeongea makorokorokocho. Bbc na wewe ni tofauti.
  Nenda mwana kwenda tokomea mwana kutokomea.
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ila tabia haina umri. Huyo hata angeoa na 40 angecheat tu. Mbona kuna vijana wametulia na wana miaka kama yake na kuna mibaba ina miaka 60 bado ina cheat kama bosi wa IMF!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  The Kenyan Olympic marathon champion, Samuel "Sammy" Wanjiru, has died after falling from a first-floor balcony at his home in the town of Nyahururu. Police say they are investigating whether it was suicide or an accident.
  The 24-year-old won in Beijing in 2008 in an Olympic record time, becoming Kenya's first marathon champion.
  Last December, he was charged with threatening to kill his wife, Triza Njeri, assault and the illegal possession of an AK-47 assault rifle.
  Mrs Njeri subsequently withdrew her accusations, saying they had reconciled.
  However, Wanjiru was due to appear before a court on 23 May on the charge of illegal possession of a firearm.

  The BBC's Will Ross in Nairobi says the Olympic champion had a stormy relationship with his wife.
  National police spokesman Eric Kiraithe said Wanjiru killed himself but Nyahururu police chief Jasper Ombati said it may have been an accident during a confrontation with his wife.
  Mr Ombati said the dispute began when Mrs Njeri found Wanjiru with a female friend in their home in the town 150km (93 miles) north-west of Nairobi.
  Police are currently questioning both women about the incident.

  Wanjiru suffered internal injuries as a result of the fall and was pronounced dead in hospital after attempts to revive him failed.
  Our correspondent says some Kenyans believe his domestic problems were linked to his recently acquired wealth from prize money.
  His agent, Federico Rosa, told the BBC he was "100% sure" it was not suicide.
  Wanjiru spoke to Mr Rosa over the weekend and was "very focused", he said.
  "He asked to borrow my car and he was supposed to be back early this morning with my car, so for sure there was nothing to do with suicide. It was just a terrible accident that happened."
  Wanjiru's fellow Kenyan marathon star Paul Tergat said the death was "shocking" and "very sad".
  "We have lost a very young and talented athlete," he told the BBC.
  [​IMG]

  Wanjiru sets London marathon record

  As well as becoming the youngest Olympic champion since 1932, Wanjiru also set marathon course records in London and Chicago.
  Prime Minister Raila Odinga said Wanjiru's death was a big blow to Kenya's dreams of Olympic gold in London 2012.
  Athletes including Ethiopian great Haile Gebrselassie have expressed their shock and condolences.
  "One wonders if we as an athletics family could have avoided this tragedy," he said on his Twitter feed.


  BBC News
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kwa staili hi huwa hatusemi bwana ametoana ametwaa.........hata yeye huko juu anashangaa imekuwaje maana gafla mno...na baad ya hapo ni adhabu tu
   
 17. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa na pesa zoote alizokua nazo alishindwa vipi hata kuchukua guest akamaliza mchezo?
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ukiwa na mafanikio inabidi kuwa makini sana kuwa upo kwenye vita kubwa sana ya kimwili na kiroho pia. Na usipokata shauri juu ya ulimwengu huu, kinachofuata ni kifo cha aibu na fedheha. Na hata Wanjiru angepata nafasi ya kuishi angeshangaa sana kwa nini kafanya vile na hakujielewa wakati haya yanatokea.
  Bwana Mungu ndiye hakimu wa yote na hakimu mwenye maamuzi ya Haki na Kweli, huku tumuachie yeye.
   
 19. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama alikuwa na courage ya kupeleka kimada home,kwa nini alishindwa kuwa na courage ya kuhandle fumanizi?alitegemea nini?au alikuwa amelewa?
   
 20. tama

  tama JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mmmmmh nimeipenda hiyo ya red lol!!!!:tonguez:
   
Loading...