Mwanariadha Mjerumani mwenye asili ya Tanzania ashinda dhahabu mashindano ya Olimpiki

Kwenye suala la Diaspora na Dual citizen nakumbuka kuna kipindi lilikua linajadiliwa bungeni wabunge wa chama tawala walikua wanatoa macho kukataa mpaka unashangaa halafu hawana hoja za msingi.
Pia Tanzania hatudhamini vipaji vyetu yaani huyo angekua bongo angekua msindikizaji tu maani ni kichwa cha mwendawazimu
Bongo angeshawishiwa kujiunga na CCM na kupewa ubunge.
 
Hivi wale mnaoangalia Olympics mmeshawaona Watanzania kule Tokyo 2020. Mimi naangalia sana sijamuona hata mbongo mmoja.
Nilitegemea ningemuona mtanzania hata kwenye masumbwi lakini imekuwa tofauti ki ukweli wizara ya habari na michezo inachakujifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom