Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi 10 za juu kati ya wanafunzi wangapi?hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
je nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, mda wa kupunzika , homework n.k lkn bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha
Tuition zinasaidia Sana lkn lazima mtoto mwenyewe pia awe anajituma katika masomo.hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
je nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, mda wa kupunzika , homework n.k lkn bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha
Inaonyesha huwa unalewa na matokeo mazuri, hivyo kubweteka.Mimi nilikua naongoza kuanzia vidudu hadi olevel lakini high school nikawa nakua wa mwisho unaniweka kundi gani?
Chuo nikawa nikaongoza darasa zima mwaka wa kwanza halafu miaka 2 iliyofuata nikawa naambulia C nakua kundi gani?
Kwenye interview za ajira zote zilizofanya kubwa kubwa nikawa nakua wa kwanza halafu choka mbaya taasisi inapumulia mashine nikawa nakua wa mwisho nakua kundi gani?
Akili hurithishwa,kama wazazi ni vilaza by nature hata ufanyeje mtoto atakuwa kilaza,so cha kwanza jiangalie wewe na mama mtoto uwezo wenu ulikuwaje enzi zenu.mimi babu yangu mzaa mama alikuwa na masters enzi za miaka ya 60 .watoto na wajukuu zake hakuna hajafika elimu ya juuhello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
je nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, mda wa kupunzika , homework n.k lkn bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha
Umerogwa weweMimi nilikua naongoza kuanzia vidudu hadi olevel lakini high school nikawa nakua wa mwisho unaniweka kundi gani?
Chuo nikawa nikaongoza darasa zima mwaka wa kwanza halafu miaka 2 iliyofuata nikawa naambulia C nakua kundi gani?
Kwenye interview za ajira zote zilizofanya kubwa kubwa nikawa nakua wa kwanza halafu choka mbaya taasisi inapumulia mashine nikawa nakua wa mwisho nakua kundi gani?
Siangalii mtoto amekuwa wa ngapi. Wanaweza kumpanga hata wa mwisho wakipenda.Ulimpeleka shuleni kumshindanisha na watoto wengine?! Kama angekuwa anafundishwa peke yake darasani ungepimaje maendeleo yake?
Kufika elimu ya juu siyo kwamba ndiyo ulikuwa na akili sana hapanaAkili hurithishwa,kama wazazi ni vilaza by nature hata ufanyeje mtoto atakuwa kilaza,so cha kwanza jiangalie wewe na mama mtoto uwezo wenu ulikuwaje enzi zenu.mimi babu yangu mzaa mama alikuwa na masters enzi za miaka ya 60 .watoto na wajukuu zake hakuna hajafika elimu ya juu
hahahaha umeua sanaaa, unamshangaa analia nini ama kweli ww kiboko?? daaah wazazi wengine mmepinda sanaaaMie hata simfatilii na sinaga huo muda kabisa ila ndo hivo wa kwanza au wapili akishika watatu atarudi nyumban na kilio halaf m namshangaa sa unalia nini?
tuanzie kwake kwanza, usikute tunaenda mbebesha lawama mtoto ambazo kimsingi sio zake??Vipi ww ulikuwa unaongoza au ulikuwa tia maji tia maji?
Hapa unakuwa umemtengenezea mazingira mazuri ya kujitegemea huko ukubwani.Siangalii mtoto amekuwa wa ngapi. Wanaweza kumpanga hata wa mwisho wakipenda.
Huangalia:
1. Maendeleo yake ya kuelewa, muhula huu ukilinganisha na muhula ule, anasonga mbele au anarudi nyuma?
2. Hesabu, Kiingereza na Sayansi. Je anaelewa masomo hayo na kuyapenda?
3. Je, anapenda kwenda shule au shuleni pana mazingira gani ambayo yanamfanya ahofie kwenda?
4. Anapenda kusoma vitabu vya hadithi, kuangalia muvi za kitoto, na kucheza atokapo shule?
Karibu.