Mwananyamala ni Uswahilini sana, sijui wanajivunia nini?

Pazuri mitaa hiyo ila kama una tabia ya kuacha zipu wazi....
Mitaa karibu na biashara complex vp nimepata room huko Ila nahofia usalama

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Wakuu heshima yenu,

Mimi huwa nawaangalia watu wa Mwananyamala wanavyojidai, nashindwa kuelewa nini kinawapa Jeuri
Mwananyama na Kinondoni yote ni Uswahilini sana kuliko hata Manzese.

Picha hapa chini ni Mwananyamala Mjini iliyopo Kinondoni Dar Es Salaam
View attachment 1208995
 
Back
Top Bottom