Mwananyamala ni Uswahilini sana, sijui wanajivunia nini?

Baba mama na watoto sa jinsia zote tunalala kwenye chumba kimoja ambacho humo humo ni chumba, sebule jiko dinning na wakija wazee kuuguzwa Mwananyamala hospital humo humo tunalala.
Mchezo wa baba na mama tunavizia mchana watoto wakiwa shule.
Kule maisha marahisi, nyumba vyumba viwili kodi elf 50, nani ahame, Msisiri, kwa kopa, manjunju, kwa wahaya, ujiji, maisha ya ushirikina sana tu
 
Baba mama na watoto sa jinsia zote tunalala kwenye chumba kimoja ambacho humo humo ni chumba, sebule jiko dinning na wakija wazee kuuguzwa Mwananyamala hospital humo humo tunalala.
Mchezo wa baba na mama tunavizia mchana watoto wakiwa shule.
Kweli aisee, pale shule ya msisiri b, maisha ya ajabu sana, haya ukija mtaa wa kanisa katoliki nyuma ya hospitali ,wazazi inabidi wapigane miti watoto wakienda shule
 
Wakuu heshima yenu,

Mimi huwa nawaangalia watu wa Mwananyamala wanavyojidai, nashindwa kuelewa nini kinawapa Jeuri
Mwananyama na Kinondoni yote ni Uswahilini sana kuliko hata Manzese.

Picha hapa chini ni Mwananyamala Mjini iliyopo Kinondoni Dar Es Salaam
View attachment 1208995
 
Punguza dharau! Kwanza hakuna sehemu inaitwa MWANANYAMALA MJINI... Mwananyamala ni sehemu ya JIJI LA DSM, tunajivunia kuwa MWANANYAMALA! Na hata sisi tunawashangaa mnachojivunia nacho huko makwenu!
Nimeishi mwananyamala miaka kumi nikitokea Temeke kwa Azizi Ally mtaa wa uwanja wa sifa, kabla ya hapo nilikuwa naishi ubungo lakini nikajivuta Ilala... Kimsingi nimeishi wilaya zote za Jiji la Dar lakini leo hii nikiamua kurudi dar bado Nita opt kuishi mwananyamala
 
Nipo KWA MAMA ZACHARIAH hapa, alie jirani ajongee!
Angalia Barbara na mitaa yake halafu to a tens comment
Screenshot_20190916-225721.jpeg
images-2.jpeg
images-3.jpeg
Screenshot_20190916-225048.jpeg
Screenshot_20190916-225105.jpeg
Screenshot_20190916-230037.jpeg
Screenshot_20190916-230048.jpeg
Screenshot_20190916-230127.jpeg
Screenshot_20190916-225721.jpeg
 
Mswahili atabakia kuwa mswahili tu, hawezi badilika! Anakuja mkoani anajisifu nimetoka dar meno yote nje huku anabadilisha na matamshi..kumbe anatokea uswahilini nyumba zenyewe ka mabanda ya kuku :D :D watu wa dar mnatabu sana...sijui mnakwama wapi...ebu acheni ushamba basi!!!
 
Back
Top Bottom