Mwananyamala ni Uswahilini sana, sijui wanajivunia nini?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,672
2,000
Wakuu heshima yenu,

Mimi huwa nawaangalia watu wa Mwananyamala wanavyojidai, nashindwa kuelewa nini kinawapa Jeuri
Mwananyama na Kinondoni yote ni Uswahilini sana kuliko hata Manzese.

Picha hapa chini ni Mwananyamala Mjini iliyopo Kinondoni Dar Es Salaam
IMG_20190916_151401_9.jpg
 

monopoly inc

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
3,282
2,000
Kiduku Lilo ana waharibu nyie vijana

Mwananyamala na Manzese kuna tofauti gani?

Kote kuna vigodoro, miguu na utumbo wa kuku, supu ya Mia 3,wamama wanaocheza matako nje kwenye daladala za vigodoro, mdundiko daily, vibaka ndo usiseme,

All most dar maeneo mengi maisha ni yaleyale except Masaki, obay, nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom