omunatta
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 236
- 139
Nimekua Mwananyamala kwa kipindi kirefu kidogo ila kuna jambo kubwa na la kutia hofu na hili sio lingine bali ni idadi kubwa ya raia wa kigeni kutoka nchi jirani ya Malawi maarufu kama Wanyasa.
Ukifika maeneo mengi ya Mwananyala kwa harakaharaka unaweza fikiria upo brantaya au lilongwe kwa lugha inayozungumzwa kwenye viunga vya Mwananyamala, .
Wasiwasi wangu sio uwepo wa watu hawa nchini, bali ni uhalali wa wao kuwepo nchini na kazi wanazozifanya, maana wengi wao hawana kazi maalumu(profesionals) wanapambana na watoto wa Mwananyamala na Tandare kubeba zege na kazi ndogondogo.

Last edited by a moderator: