Mwananyamala hospitali gharama ni juu mno kama private

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,772
4,921
Kama unaenda hospital ya Mwananyamala kufuata unafuu wa serikali fikiria tena.Leo nimeenda mambo ni hivi. Kujiandikisha/ kadi 6000, Ultra sound 15000. Maabara kipimo cha damu,......38000- hakuna risiti. Dawa za kuanzia 10000- hakuna risiti dawa hizo zinauzwa mtaani kwangu 2500- nimejua baadae
Swali kunatofauti ganu na hospital za binafsi?
Kwa nini maabara na famasi hawatoi risiti na wanawachiwa kudai bei kwa kuangalia sura"
Hospitaali inafanya biashara ya dawa?
 
Malipo yoyote ya serikali ni lazima yatolewe risiti. Mwananyamala hospital,kuanzia Ultrasound, Xray, maabara ,Pharmacy ; Wanapokea fedha risiti hawatoi! Je kinachokusanywa kinakwenda wapi?
SASA INGIA CHOONI UJIONEE UCHAFU.
MABOMBA MABOVU HAYATENGEZWI.
MAJI YANAMWAGIKA HOVYO. UONGOZI UMELALA TU.
TUNAHITAJI MABADILIKO HARAKA!!!
 
Back
Top Bottom