#COVID19 Mwanangu wa miezi 2 kakataliwa kupewa chanzo hadi mama yake akubali kupokea chanjo ya Covid-19

jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
500
820
Hili limetokea Jana baada ya mama watoto kutoka kliniki.

Nimeshangaa sana hili Jambo tena kwenye hii zahanati yetu ambayo tumeijenga kwa nguvu zetu wenyewe

Kwanini wanahukumu mtoto kwa sababu ya mama kutopewa chanjo ya korona kisha tu msimano wake juu ya chanjo hiyo

Kwa kweli nimesikitika Sana
Nimehamua kununua chanjo kwa ajili ya mwanangu kwenye hospitali binafsi ili kuendelea na ratiba yake

Kama Serikali kuna jambo lipo nyuma ya hii chanjo inayolazimishwa kimya kimya basi Bora watangazie umma kwamba chanjo ya korona ni lazima wasifumbe fumbe mambo

Madha fu*****
 
Huu ni Jazz Band. Nchi tunapigwa sana. Pole.

Ukiweza ilipue tu kwa kuisanua Jina lake hiyo Zahanati uchwara. Tuimanye, Tukae Kimachale.
 
Huyo mganga anashitakika, kosa la mzazi anahukumiwaje mtoto? tena mtoto hata hajafika hata mwaka.

Hiyo record akija kukuwa na akiwa mwenye akili timamu hata yeye mwenyewe anaweza kuja kushitaki.
 
Haaah! Huyu kiongozi wetu naye ni muabudu nanii? Kwa nini tulazimishwe chanjo ya ugonjwa ambao haupo wala hauna madhara yoyote?
 
Back
Top Bottom