Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

Hata huko mambo hayatakuwa rahisi mkuu, hili swali sio lakitoto hata kidogo sijui ilikuwaje tu hadi akaulizwa mtoto!? Angalia maveterani wa Jf wanavyosugua bongo bila muafaka kupatikana!!
Nasubiri jibu sahihi
 
Mtoto hafundishwi kama mtu mzima,mtoto anafundishwa kitotototo kuendana na mazingira yanayomzunguka huko mbele sasa ndo ataanza kujishepu mwenyewe kadri anavyopanda darsa..mfano,sisi tulipokuwa darsa la pili tulifundishwa (2-3=haiwezekani),na tukaamini hivyo hadi tulivyopanda darsa tukajua (2-3=-1) ..mtoto hufundishwa kwa staili ya kipekee sana
Na tulipopanda darasa tuliambiwa haiwezekani, ni lazims ukope.
 
Back
Top Bottom