Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,276
Toka kazaliwa alikuwa na nywele chache nyuma ya kisoga tu na sehemu zingine hakuna nywele. Na sasa ana miaka 2 na miezi kadhaa. Napenda apate nywele, Je kuna dawa au vyakula gani anatakiwa kula kama kuna upungufu wowote wa madini mwilini?? Wataalamu tafadhali msaada wenu.