mwanangu anaumwa na sikio nisaidieni ushauri pls! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwanangu anaumwa na sikio nisaidieni ushauri pls!

Discussion in 'JF Doctor' started by wa UDOM, Apr 10, 2011.

 1. wa UDOM

  wa UDOM Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanangu ana umri wa miaka 2 na nusu.
  ameanza kuugua ugonjwa wa sikio kuuma na ku_discharge mara kwa mara na doctors wamekuwa wakimpa atibiotics ambazo nimeona hazimsaidii.
  saaa hii anaumwa ni mara ya 3 ugonjwa kumrudia,
  nifanye nini jamani?
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hiyo ni very serious aiee

  Nenda ENT muhimbili na uhakikishe anatapa huduma muhimu... madhara ya sikio ni makubwa sana ndugu yangu

  Kuna Dr. wanamwita Kimario ni mzuri sana na ana priavte clinic yake... kama uko dar mtafute through 0784 883190
   
 3. wa UDOM

  wa UDOM Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante kaka
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Chemsha bangi, chuja, maji yake mtie sikio lenye matatizo, tone moja asubuhi, mchana, na usiku. Siku tatu, kama hajapata nafuu muone "specialist" wa ENT.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mh! Bangi??? Hata km ni dawa cmshauri, sikio ni k2 kngne, ukikosea kdgo ndo ushamtia mtoto uziwi. Nenda kwa wataalam wa ENT,achana na bangi imekaa kienyeji sana!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hapo wala sijafanya mchezo wala utani, anaeongelewa ni mtoto mdogo na nnathamini sana afya na furaha ya watoto, mimi nna vijukuu tayari.

  Kuhusu bangi, naomba ufahamu kuwa ni dawa kubwa sana na imetumika kwa miaka mingi sana kama tiba ya mambo mengi tu, na mojawapo ni hiyo ya kutibu masikio.

  Nakuomba google kidogo "marijuana cures" upate kuona bangi inavyo-tibu, ina-tibu mpaka baadhi ya cancer.
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Zamani tulitumia majani ya bangi mabichi. Unatwanga kusha unakamulia tone kwenye sikio. Pia tulitumia mafuta ya kuku! Kizazi cha sasa so delicate kuhimili tiba za aina hii! Achana na hosp. za kitaa nenda Hospital kaone wataalamu. Kama uko Moshi nenda KCMC. Kwa sasa utapata huduma nzuri maana hakuna wagonjwa wengi sana wote wametimkia kule!
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Cjasema haitibu, ila kumbuka sikio la mtoto limemwuma kwa muda mrefu na ame2mia aina tofaut za dawa bla mafanikio, sa kuendlea kumjazlisha madawa huoni ni hatari? Unaonaje km ataenda kwa hao specialst wa ENT? Hata mimi nafaham bangi ni dawa ila hii imeshakuwa serious case!
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hilo sipingani nalo kabisa na ndio maana kama utasoma vizuri "post" yangu, mimesema atumie siku tatu, kama haimsaidii aende akawaona ma "specialist" wa ENT.

  Tunamuombea Mungu huyu mtoto apone kwa haraka. Sikio linauma vibaya sana. Na yote tuyasemayo hapo ni ya kujaribu kumtakia afya yake irudi na awe salama.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mungu akubariki ndg yng!
   
 11. wa UDOM

  wa UDOM Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawashukuru sana ndugu zangu.
  michango yenu ninaithamini sana na ninaanza kuifanyia kazi mara moja.
   
 12. s

  shoshte Senior Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo tatizo je ulikuwa wakati anatumia antibiotic unamsafisha hilo sikio kwa kutumia zile pamba za masikio inasaidia sana huku anatumia dawa nawewe unamfanyia usafi asubuhi mchana na jioni na hico kipamba unatubukiza kwenye maji ya vuguvugu kabla hujamsafisha nacho
   
 13. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  pole sana ! Naamini mtu wa karibu anapooumwa familia nzima inakuwa na mfadhaiko. Umefanya vema kuuliza kwa wana-jf, Mungu alitupa mimea na wanyama kama dawa zetu na chakula, ndiyo maana hata mchungaji wa Loliondo amefunguliwa hayo. Bangi na mafuta ya kuku ni tiba kwa maradhi ya sikio. Miye, niliwahi kushuhudia tiba hiyo kama walivyoeleza wana -jf !. Kama hutafanikiwa nenda kawaone wataalamu, usisahahau kumfanyia usafi mara kwa mara, hiyo ndiyo dawa ya kwanza. Mungu akutie uvumilivu na nguvu.
   
 14. m

  menny terry Senior Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mpeleke akanywe kikombe cha dada tabora.Coz cha babu kimesha kushnei.
   
 15. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kuelezwa kuwa mafuta ya kenge pia ni dawa nzuri. Binafsi sijawahi kujaribu ila Usukumani inatumika sana na wanaisifia.
   
 16. m

  matshs Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  MWONE dR. eDWIN WA MUHIMBILI 0715 283569 make appointement with him! is a gud ENT specialist
   
 17. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana utakapopata matibabu na tibu naomba uje utuambie as maisha haya uwezi jua lini itakuwa kwako
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nenda Magomeni karibu na kwa Shehe Yahaya kuna hospitali ya mmasai mmoja ni madocta wa koo, masikio na pua. Mwanangu alikuwa na tatizo hilo akiwa na miezi kama nane hivi. I attended a clinic there for sometime (almost six months once a week). It took him two weeks to recover but we kept going there to as recommended by doctors. na sasa hivi anakaribia miaka minne tatizo halijajirudia tena. Walinambia ni fangus (walimpima) na walikuwa wanamsafisha kwa dawa kila nikienda na wanampaka dawa. I strongly recommend that clinic. Ni madokta wa Muhimbili. Si unajua kwenda muhimbili ni issue.
   
 19. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Pole sana maana mtoto mdogo hivyo akiumwa hata wewe mambo yako yanasimama.
   
 20. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuna doctor wa Muhimbili anaitwa Ekenywa, ila ana hospitali yake magomeni mwembechai, Mimi mwenyewe nilishaumwa sikio sana kama ambavyo mwanao ameumwa lakin nilipomuona ilinichukua wiki moja tu kupona. kufika kwenye hospitali yake fuata barabara ya lami iliyopo kwenye petrol station ya mwembechai, ukifuata hiyo barabara unatokezea magomeni Mikumi. Ukiwa hapo sheli jaribu tu kuuliza kwa doctor Ekenywa utaoneshwa. Kwa bahati mbaya namba yake nimeiacha hom, by now cko tz. Lakini nakupa ukweli usiache kumpeleka kwani matibabu yake ni ya uhakika.
   
Loading...