Mwanangu anauliza; Kama dunia iliumbwa bila masaa (time zone), je punda na kuku nani kawafundisha kusoma majira hadi wawike?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Wale mliozaliwa masaki mkae msikilize tu!

Mwanangu asubuhi hii tukiwa njiani tunaelekea shule kaniuliza swali;

Ikiwa wanasayansi ndiyo waliotuletea Massa, (time zone-GMT) kwa kuweka sekunde,dakika hadi saa nzima kama tunavyosoma shule!

Je; kuku au punda walijuaje kuwika mda muafaka?

Kwa mliozaliwa mjini ni kwamba; Punda anaouwezo wa kuliaa/kubweka kila baada ya lisaaa limoja, na ukiangalia mda kwenye saa inakuwa kweli saa kamili!

Naombeni majibu yenu wadau; Maana dogo nimemwambia tutaongea jioni aniache kwanza asubuhi ninawahi kazini
Screenshot_20190930-060538.png
 
r
Wale mliozlaliwa masaki mkae msikilize tu!ur

Mwanangu asubuhi hii tukiwa njiani tunaelekea shule kaniuliza swali;

Ikiwa wanasayansi ndiyo waliotuletea Massa, (time zone-GMT) kwa kuweka sekunde,dakika hadi saa nzima kama tunavyosoma shule!

Je; kuku au punda walijuaje kuwika mda muafaka?

Kwa mliozaliwa mjini ni kwamba; Punda anaouwezo wa kuliaa/kubweka kila baada ya lisaaa limoja, na ukiangalia mda kwenye saa inakuwa kweli saa kamili!

Naombeni majibu yenu wadau; Maana dogo nimemwambia tutaongea jioni aniache kwanza asubuhi ninawahi kazini
View attachment 1219228
alipouliza shuleni aliambiwaje?? au unalipa ada bure??
 
Wanakuja kukujibu mkuu
 
sayansi ya ina mlolongo mrefu sana kama umeshindwa kujua hiyo simu inafanyeje kazi mpaka huka post na sisi tuka soma uzi wako na tuka komment.nenda fanya utafiti kama ni mtafiti mzuri.
kuna mazingira ambayo hata sayansi ina kopa kwenye dini ili kupata ukweli wa utafiti au hata mafanikio
 
Wale mliozaliwa masaki mkae msikilize tu!

Mwanangu asubuhi hii tukiwa njiani tunaelekea shule kaniuliza swali;

Ikiwa wanasayansi ndiyo waliotuletea Massa, (time zone-GMT) kwa kuweka sekunde,dakika hadi saa nzima kama tunavyosoma shule!

Je; kuku au punda walijuaje kuwika mda muafaka?

Kwa mliozaliwa mjini ni kwamba; Punda anaouwezo wa kuliaa/kubweka kila baada ya lisaaa limoja, na ukiangalia mda kwenye saa inakuwa kweli saa kamili!

Naombeni majibu yenu wadau; Maana dogo nimemwambia tutaongea jioni aniache kwanza asubuhi ninawahi kazini
View attachment 1219228
Akuache uwahi kazini,umemtoka dogo kidizain,ngoja tusubirie wajuao hili swala waje
 
Si rahisi kuamini kuwa punda analia kwa masaa!! Naiona Kama dhana tu na hao majogoo hata sahivi wanawika nachofahamu Mimi wanalia kwa kuwavutia majike na kulinda territory zao
 
Wale mliozaliwa masaki mkae msikilize tu!

Mwanangu asubuhi hii tukiwa njiani tunaelekea shule kaniuliza swali;

Ikiwa wanasayansi ndiyo waliotuletea Massa, (time zone-GMT) kwa kuweka sekunde,dakika hadi saa nzima kama tunavyosoma shule!

Je; kuku au punda walijuaje kuwika mda muafaka?

Kwa mliozaliwa mjini ni kwamba; Punda anaouwezo wa kuliaa/kubweka kila baada ya lisaaa limoja, na ukiangalia mda kwenye saa inakuwa kweli saa kamili!

Naombeni majibu yenu wadau; Maana dogo nimemwambia tutaongea jioni aniache kwanza asubuhi ninawahi kazini
View attachment 1219228
Aliyeumba mbingu na ardhi, usiku na mchana, jua na mwezi, ndiye alieyetufahamisha nyakati, tunaweza kutofautisha usiku na mchana kwa kuingia giza na kutoka jua. Waislam tunaswali nyakati tano kwa siku, si kwa kufuata saa za wazungu bali nyakati zilowekwa na Muumba wa ulimwengu. Hizo saa za wazungu zinasaidia kutambulisha nyakati ambazo zipo zamani. Hata hivyo, saa za wazungu zinashindwa kwenda sambamba na nyakati ktk baadhi ya nchi. Mfano ulaya siku za winter na summer huwa wanapunguza na kusogeza saa moja mbele au nyuma uli kuzifukuzia nyakati lkn hawawezi. Utakuta saa sita usiku jua linangara wakati wa summer, na saa kumi jioni giza totoro wakati wa winter. Kwa waislam hapa hawajali masaa katika kutekeleza swala zao 5. Wanaendelea kufuata nyakati za muumba , so muislam ulaya wakati wa summer anaswali swala ya isha hata usiku saa sita kwa sbb wakati wa swala hio ndipo unapoingia sio saa. Na wakati wa winter anaweza kuswali isha saa kumi na moja jioni kwa sbabu wakati ndo umeingia sio saa.
Inawezekana viumbe nao wanafuata nyakati sio saa.
 
Umeongea vizuri ila usingeweka dini
 
Vipi kuhusu changamoto ya mawingu, au kunapokuwa na mvua, unawezaje kubashiri nyakati ilihali jua linalotegemewa lijulishe nyakati halijatoka ipasavyo? Swali langu halijalenga kutofautisha usiku na mchana bali limelenga kutofautisha nyakati za hapa katikati kabla ya jua kuzama.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom