Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

Mi mwanangu ana miaka mitatu net.
lakini ana makamasi yanamtoka tu tena yale mazito mazito

nishatumia sana dawa za.maji lakini wapi

vipi nikiongeza na hii itaweza kukata?
mafua yanayotoka ushukuru! hayana usumbufu a kupumua ndo maana yanatoka! naamini yataendelea kustop kadri sku zinavyoenda
 
mafua yanayotoka ushukuru! hayana usumbufu a kupumua ndo maana yanatoka! naamini yataendelea kustop kadri sku zinavyoenda
Asante sana mkuu. Pia wakati mwingine anapumua kwa shida sana usiku, kama vile kukoroma yani napata shida sana nakosa amani
 
Hakikisha ndan pasafi hewa inazunguka. Mvalishe nguo ambazo haziingizi baridi bado ni mtoto mchanga. Mpaka mafuta ya nazi kichwan hasa kwenye utosi. Halafu unaweza mkanda na maji ya vuguvugu yenye chumvi.

Ukamkanda puani
 
Asante sana mkuu. Pia wakati mwingine anapumua kwa shida sana usiku, kama vile kukoroma yani napata shida sana nakosa amani
pole mkuu! hyo kesi wakuu waje wakusaidie ndugu! watoto ni changamoto mda mwngne, tuendelee kupambana
 
Hakikisha ndan pasafi hewa inazunguka. Mvalishe nguo ambazo haziingizi baridi bado ni mtoto mchanga. Mpaka mafuta ya nazi kichwan hasa kwenye utosi. Halafu unaweza mkanda na maji ya vuguvugu yenye chumvi. Ukamkanda puani
shukrani mama ake anafanya hyo sku ya tatu sasa! na amepew nasal drop, angalau usku tunalala
 
hosp tumeenda hakuwa na tatizo llte zaidi ya kufoka kwa mafua yasiyotoka! amepew tu nasal drop na mama yke huwa anamgusa gusa pua an vimaji vya uvugu
Ana muda gani toka apate tatizo hilo!? Anachemka mwili usku yan kutoka jasho!? Analia lia kama dalil ya kukosa raha!?
 
Ana muda gani toka apate tatizo hilo!? Anachemka mwili usku yan kutoka jasho!? Analia lia kama dalil ya kukosa raha!?
DALILI ZA KUKOSA RAHA ANAZO, MDA MWINGNGNE ANATAMAN KUINGIZA HTA KIDOLE PUANI ! ILA NDO HAFIKII..! ANA MWEZI MMOJA TUU TANGU AZALIWE, TATZO LIMEANZA WIKI MOJA ALIPOZALIWA, HATOKI JASHO WALA HANA HOMA
 
Ana allergy Mkuu huyo mtoto kama wangu tu yaan mtoto amenyimwa na Dr kutumia maziwa yeyote, samaki, karanga, mayai, asikae kwenye vumbi mlolongo ni mrefu. Nimejaribu kuacha hivyo vitu nimepumua maana kila baada siku moja tulikuwa tunaenda hospital.

Mpatie Normal saline drop hii ni maji na chumvi haina madhara, kikubwa ni kwenda kumpima allergy
 
SHUKRANI NDUGU KWA USHAURI! NDO ANATUMIA KWANZA HYO NASAL DROP..
 
Back
Top Bottom